Wakuu hizi game za Bravo vs Simba , na Al hilal vs Yanga, nipen link leo nataka niziangalizie kwa simu, au kama kuna namna yakuweza kuangalia kwa kustream kutumia simu nipen hayo maujanja
Wakuu
Kuna wale miamba wa kutengeneza matreni jamaan fanyen litreni limoja la SGR lenye Over 0.5 FT Tu.
Hii option huwa imekaa utamu coz probability ya kuchana n kidgo sana l, alafu mtu utie kibunda cha maana
Wakuu.
Kuna dogo hapa kapata multiple selection hizi za vyuo vikuu.
1. bachelor of science in renewable energy engineering -UDOM
2. agricultural engineering - SUA
3. bachelor of technical education in electrical and electronics engineering - MUST
Naombeni ushauri hapo apite na kozi gqni ?
Wakuu, Msaada!!
Hivi kama tarehe ya kuzaliwa kwenye Nida ni tofauti na tarehe ya kuzaliwa kwenye cheti cha kuzaliwa hii inaweza kuleta shida mpk mti akazuiwa kufanya usaili??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.