Recent content by RUKUKU BOY

  1. RUKUKU BOY

    JamiiForums Tanzania GE2025 ‘Kapteni Tesha’ kawapa matumaini hewa

    Mbona kama umepanic
  2. RUKUKU BOY

    JamiiForums Tanzania Mwalimu anahitajika Bukoba-Kagera

    Nikuoe pole ndugu,Nina miaka 10 humu Sina utaperi na siletagi madam kizembe
  3. RUKUKU BOY

    JamiiForums Tanzania Mwalimu anahitajika Bukoba-Kagera

    Hi guys. Kuna nafasi moja ya internship kwenye organization inayodeal na elimu mkoani Kagera. Sifa 1.awe mwalimu wa kike 2. Awe mkazi wa mkoa wa Kagera especially wilaya za Bukoba,Mleba,Karagwe. 3.Awe amehitimu chuo mwaka huu 2025 4.Mwenye shahada ya Elimu. Posho nzuri ipo. Karibu DM
  4. RUKUKU BOY

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kama mwana CCM sipendi Lissu kuwa gerezani

    Siasa za mahakama sio nzurii
  5. RUKUKU BOY

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kama mwana CCM sipendi Lissu kuwa gerezani

    Sawaa
  6. RUKUKU BOY

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kama mwana CCM sipendi Lissu kuwa gerezani

    Treason committed by one disabled person?
  7. RUKUKU BOY

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kama mwana CCM sipendi Lissu kuwa gerezani

    Mimi ni kada mtiifu wa chama Cha mapinduzi. Sio muumini wa kuandika sana humu, ila napenda kutoa ya moyoni. Sifurahishwi kabisa nchi kwenda kwenye uchaguzi uku kiongozi mkubwa wa upinzani yupo gerezani. Viongozi wangu ata mataifa rafiki wanatucheka kabisa. Hii imesababisha uchaguzi wa mwaka huu...
  8. RUKUKU BOY

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Njoo uchukue laki
  9. RUKUKU BOY

    JamiiForums Tanzania Amsterdams & LLB Partners waomba jumuiya ya kimataifa kusitisha misaada kwa Tanzania hadi pale uchunguzi huru utakapofanyika

    Kwamba kina Lucas wangekuwa na mkono wa sweta kama sio mabeberu😁
  10. RUKUKU BOY

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya uhaini inayomkabili Lissu yaahirishwa hadi Julai 15 2025

    Kesi imehairishwaa
Back
Top Bottom