Kuna wadau hapo juu wamekufafanulia vzr , moja kuna sheria ambayo inalinda hii mifuko na serikali haiwezi kuingilia wala kufanya chochote isipokuwa kutengeneza mazingira wezeshi tu ,pili uhakika wa kuendelea kupata faida - kwasababu wanawekeza kwenye biashara ambazo ni uhakika wa interest mfano...
Umeongea point , mimi Utt niliifahamu toka mwaka jana mwezi wa nne - then nikaanza kufanya utafiti wangu nje ndani kwasababu waga sikurupukii vitu na ikanichukua miezi mitatu kuielewa vzr , then mwezi wa nane mwaka jana rasmi nikaanza ku invest , nimekimbiza mpaka mwaka huu mwezi wa nane...
Duuh watu mnautajiri alafu mnauchezea , hiyo kwa kila mwezi unaingiza 200k - miezi 8 ungekuwa 1.6M faida sasahivi na maongezeko kibao. Cheki mfano huo hapo chini watu walivyo na hasira , mtu ana kamilioni tano kake ana maswali kibao anaona kama anaibiwa , cheki watu walivyo na salio chini hapo...
Mkuu huko vzr , siku zote investment mindset haijawahi mwangusha mtu ni suala la muda tu - kikubwa kama una capital na mipango mizuri hutazuilika kamwe, kwa plan zako 5years to come - unautafuta ubillionea kabisa na tena Hisa ndio zitakazo kutoa mapema, mfano najaribu kuangalia kwasasa hapa...
Mkuu hii ni burudani CRDB wako moto natabiri mpaka kufikia mwakani mwezi August kama leo , hisa za Crdb zitauzwa 2000+ kwa hisa moja - mwenye kununua achangamke mapema - now bei ni 1150 mwakani ita double mwenye 50Mill atakuwa na 100Mill+ , jana nimepitia taarifa mahali nusu ya mwaka huu 2025...
Kwa ulichoandika hapa ndio maana ulipata hasara, inaonyesha upo unafanya ndio lakini unafanya kitu usichokijua - nakushauri wekeza kwenye maarifa kwanza au hachana na hii kitu nenda kwenye bishara zako inaonekana ndio eneo ulilo na uzoefu nalo, uku usipochukua muda kujifunza utaendelea kutukana...
Kama mimi nilivyodharau kununua hisa za CRDB mwaka jana miezi kama hii zilikuwa 510 na nilikuwa na 5Million mkononi, leo hisa ziko shilingi 1000 mara mbili yake
Wewe inaonekana humfahamu John Heche ata kidogo pengine ulikuwaga unaskia jina tu lakini hukuwahi kukutana na ushawishi wake na kufahamu ni mtu wa aina gani.
John Heche ni moja ya vijana hatari wa Chadema waliojengwa na Mbowe mwenyewe ,nyota yake ilianza kung'aa mapema sana na nafasi ya kwanza...
Wewe inaonekana humfahamu John Heche ata kidogo pengine ulikuwaga unaskia jina tu lakini hukuwahi kukutana na ushawishi wake na kufahamu ni mtu wa aina gani.
John Heche ni moja ya vijana hatari wa Chadema waliojengwa na Mbowe mwenyewe ,nyota yake ilianza kung'aa mapema sana na nafasi ya kwanza...
Mkuu ebu nifungue macho ni mgeni kwenye masuala ya hisa , nimenunua hisa za CRDB hivi karibuni nashangaa kuna ongezeko la hisa kama 40 hivi zaidi sijui zimetokea wapi , au kuna jambo lolote huko - maana naona ongezeko
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.