Mwandishi wa gazeti la raia mwema amemchambua R.Mengi vizuri sana, mimi mwenyewe nilikuwa mmoja wa watu waliokuwa wanamwona mengi kama anaandamwa sana na serikali katika biashara zake. ila tokea nilivyosoma huu uchambuzi nimegundua mengi anapenda sana kutuingiza wananchi kwenye ugomvi wake wa...
Najaribu kutafuta link ya Tabora na ufinyu wa fikra ninapata conection nyingi mpaka nachanganyikiwa ni-conclude na ipi, labda wenzangu mnisaidie ku-narrow down hizi posible connection hapa chini:-
-Kituo cha biashara ya watumwa
-kituo cha biashara ya pembe za ndovu
-Kituo kikuu cha waarabu...
Mkuu mbona nakuheshimu sana kwa uwezo wako wa kuangalia mambo katika 3D kama ulivyosema mwenyewe, Hebu soma tena post yako ina maana huu ndio uwezo wako wa kuchambua issue za criminology? Hebu tengeneza post nyingine ubandike hii siyo ya level yako, please!!
OK, at least umetoa quote yenye mashiko. Kwa kweli ninachoona ustaadhi anafanya ni kutafuta kuacha legacy kwa mambo yasiyo na mashiko ila yaliyo mepesi kumezwa na jamii ya wajinga. Ok niishie hapo. asante
nimecancell
Kwanza naomba mtu yeyeto asiendelee kuchangia hii post, Mwanzishaji wa hii post nimeshajitambua.
Pili nawaomba msamaha walimu wangu wote niliowataja kwenye hii post kwa usumbufu niliowasababishia na ndio maana nimetumia jukwaa hili hili kuwaomba msamaha.
Tatu nieleze kuwa...
Kiongozi samahani hapo kwenye red wewe kutoka moyoni unaamini kuwa nchi inahitaji kiongozi mwenye sifa hiyo? sifa ya kwenda kwenye shuguli za recreational za kijamii? Unaamini viongozi waliopita hawakufanya hivi kwa sababu hawakuwa na ubinadamu kama wa ustaadhi au it was (is) out of presidental...
Mkuu picha yako imenikumbusha mpiga picha mmoja wa miaka ya 1930 pale berlin Ujerumani alikuwa anaitwa Hoffman yeye ndiye alikuwa personal photograpger wa Adolph Hitler, Akishirikiana na Chief wa Propaganda wa Nazi mkuu Joseph Goebble, walikuwa wanampiga picha Uncle Adolph kama hizi za kikwete...
tafsida ya nini tena, haya mambo ya tasfida ndiyo yanayotuchelewesha maendeleo mpaka hatuelewani, mi spade huwa naiitaga kwa jina lake halisi spade na siyo kijiko kikubwa
Yaani tokea tulipooga na kunya jana, leo tumeamku hakuna maji si ya kuoga wala ya kunya, yaani saa hizi nimekaa nawaza niende kula cafe hayo maji ya kunyea nitatoa wapi? maana ukila tu lazima uende chooni kukatwa kidizain fulani, nipo hapa nawaza hata nisipokula kuoga je. waungwana wameshaanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.