Mangedo, mfano katoro mizigo inachukuriwa kuwa inaenda Burundi, au Rwanda au unganda hivyo inatozwa ushuru kidogo bandarini Kwa kufata international laws taxation lakini inashushwa katoro. Hivyo bei inakuwa chee.
Wana JF Mimi sijaelewa Gwajima kwanyea au nini?
Kwa kweli sitaki kuwachosha ila nimeumia Sana, tension yote Ile ya Moshi kuzuka ni Kwa ajiri ya kumpongeza Polepole Tu. Tumia Siri zote ulizonazo , unazozijua.
Acha mizaha taifa linachezewa. usitegemee serikali iachiwe Kwa porojo. Acha mizaha...
Pole pole hiki nilikushauri toka zamani. Tubu tukusamehe kisha uwalipue. Kwa utangulizi wako WA Leo, Kesho utatubu vyema na hapo sasa tutawashugulikia hao wenye kiburi cha madaraka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.