Recent content by Ruboroga

  1. R

    JamiiForums Tanzania Waandishi nguli Richard Leo na Raymond Waaman wako wapi?.

    Richard Leo yupo Kasibante fm Bukoba
  2. R

    JamiiForums Tanzania KINGAMUZI cha TING

    X X8lk i
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kwa malaya bila kinga

    Weweee acha uongo kabisa. Ungekuwa umefanya kitendo hicho sasa hivi ungekua una- drive. pamoja na hayo ni ujinga wako kafie mbali umeyataka mwenyewe. Hata hizo mnaita kinga hazisaidii kitu....... kalaghabhahoooooooooo pusi weeeeeeeeeeeeeeeeeee
  4. R

    JamiiForums Tanzania Lwakatare ataichafua Tanzania

    Double standards zinapoanza kutumika ndo utajua kilicho nyuma ya pazia. Hatukuona mtu akilalamika Nchimbi aliposema Tanzania (Zanzibar) kuna ugaidi, wote humu mlishangilia na FBI wameletwa! Leo Lwakatare kwa uzembe wake amefanya hayo aliyoyafanya wala haijatangazwa kwa kiwango kile cha Nchimbi...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Pengo azungumzia padri kupigwa risasi Zanzibar

    Mmmh, eti katolewa risasi mbili vile! Jamani risasi mbili kwenye kidevu! Hata taya haijavunjika? Mbona usanii umezidi?
  6. R

    JamiiForums Tanzania Jussa na ajenda ya siri dhidi ya muungano

    Acha ngonjera zako hizo bana, kama ni ukhabithi wa 1884 kwa nini msijiunge na Kenya au Uganda au Malawi nk nk? Mna mambo yenu myajuayo ndo maana hamtaki kuachia. Kwani kuungana unaona ni bora na Zanzibar tu. Labda Dar es salaam je Kigoma na Burundi, Kyaka na Uganda, Namanga na Kenya nk nk...
Back
Top Bottom