Yafuatayo yatakusaidia kujibu swali kalo.
1. Mungu ninaye mwamini mimi sio bubu, sio kiziwi na wala hahitaji watu wa kumtete au kumuelezea sana. anaweza kujielezea na kujitetea maana yeye ni Mungu anaweza kujibu kwa moto na njia zake hazichunguziki.
2. unaweza kumuuliza Mungu hilo swali lako...
Mshukuruni Mungu mnapewa misaada mbalimbali.
Muogopeni Mungu. Mohammed amewasaidia vitu vingi sana.
Hao wabunge wenu mnaowasifia wa viti maalumu inawezekana hata bei ya mfuko wa cement hawaijui.
Wabunge wetu wanakaa bungeni wanauliza maswali na hakuna maendeleo majimboni kwetu.
Duniani kuna kitu kinaitwa bahati.
Ww unayesema sio dewji tajiri au sio mtz we bishaaaa mwisho wa siku yy atabaki na vyake na ww na ufukara wako.
Tafuta vyako acha ujinga.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.