Napendekeza CRDB wafungue Tawi kwenye mji wa Kalemie.Fursa ni nyingi ambazo hazizungumzwi na Mamlaka yoyote hapa Tanzania.
KALAMIE ni karibu na Kigoma na itakuwa karibu kwa wafanyabiashara wa DRC kuchukua bidhaa Kigoma.
Siku SGR ikifika Kigoma,Upande wa Mashariki ya Kongo wote watakuja Kigoma...
Kweli,wengi matokeo yake wanawapeleka watoto wao shule za 'English medium'.
Halafu hawataki kurekebisha jambo kwa manufaa ya sasa na baadae(kuhakikisha mfumo wa Elimu unawezesha kila shule inabadolishwa kuwa 'English medium.Kiswahili kibaki kama somo tu).
Kenya inakuja kutangaza kuridhia kushirikiana Tanzania kujenga Kiwanda cha kuchakata na kusafisha mafuta katika mji wa Tanga.
Na kwamba nchi yake ipo tayari ku'support" mradi wa bomba la mafuta kutoka Uganda linapitia Tanzania!
Ni vyema wakabidhi Halmashauri,ili kuwezesha usimamizi na ufuatiliaji na kupunguza gharama za uendeshaji.
Kwanini maamuzi haya?kwa sababu michango ya wananchi ilitumika kujenga viwanja hivi.
Halmashauri zipo karibu na wananchi,,na huduma zitolewazo na viwanja ni kwa ajili ya wananchi.
Awamu hii,naamini litatengewa fedha.
Ni ufuatiliaji tu,viongozi wanaotokea
Mkoa wa Singida sasa hivi wengi wamepewa nafasi kubwa za madaraka yenye ushawishi,Hili halitawashinda
Uchunguzi ufanyike,iweze ghafla bei ya mafuta itokee tarehe 1/04/2026.
Nchi jirani viongozi wanaosimamia sekta hii wamejiuzulu,baada ya kuwepo tuhuma za kula njama,kupandisha bei kwa kusingizia kuwa mzigo mpya(shehena ya mafuta) umekuja kwa gharama kubwa.
Tanzania,inasemekana shehena ya mafuta...
Kwanini?! bei ya mafuta hutangazwa mwezi mmoja kabla(tukiwa mwezi Januari EWURA hutangaza bei ya mwezi Februari.),mbona bidhaa Sokoni (nyanya,vitunguu n.k) bei hazitangazwi mwezi mmoja kabla.
Tungefanikiwa kuendeleza na kuboresha usafiri wa Anga(mfano usafiri wa ungo kutoka Sumbawanga kwenda Tanga,tungepunguza gharama sana,na Wazungu wangetuheshimu sana).
Tupo katika hatua ya juu ya Unafiki na Maigizo!(Viongozi wanakwepa ukweli kwamba hawajui wananchi wanataka nini,)
Wananchi wapo kimyaa kama vile hakuna kitu kimetokea ,lakini ndani ya mioyo ni hatari.
Tukienda hivi,miaka ijayo itakuwa ni hatari zaidi kuliko matukio tuliokwisha yaona.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.