Recent content by rsmiruko

  1. R

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mawaziri kivuli nalo lipanguliwe

    Naona wewe na mtoa mada hamfuatilii speech za mawaziri vivuli. Mfano tu, fikiria speech za akina Mnyika, Mdee, Zitto, Lema na wenzao. Cheki pia kamati za kisekta zinazoongozwa na wapinzani, eg zitto, cheyo na mrema
  2. R

    JamiiForums Tanzania Baraza la mawaziri kutangazwa wakati wowote-Ikulu!!

    Sidhani kama kuna mpinzani anayejiandaa kuwa waziri. Pia haiwezekani kwa sasa mtu yeyote asiye mbunge kuteuliwa, wa kuondolewa kwa PM Pinda, maana hatua hii italazimisha ama kusubiri bunge la Juni au JK/SPIKA kuitisha la dharura ili kuwaapisha au kumthibitisha PM.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa kaya hana mawaziri wapya wasafi lazima akope

    Kuhusu lap top msimamizi hajakiri.
  4. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanaandamana upinga ushindi wa Makongoro

    Kukata rufaa au kufanyaje?
  5. R

    JamiiForums Tanzania Hili la Membe anayelijua atushushie

    Mmekosa cha kumbambikia
  6. R

    JamiiForums Tanzania Naombeni Link ya Magazeti ya Tanzania

    Cheki hapa utapata yote: rsmiruko.blogspot.com
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kutoka Bungeni - Jumamosi 21, Aprili 2012 (Videos)

    Hapo ndo umwelewe sasa
Back
Top Bottom