Recent content by Rs MI

  1. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mabasi maalum kutatua changamoto za usafiri kwa wafanyakazi

    Wazo zuri, Lakini changamoto itakayotokea huenda gharama zikaielemea serikali kutokana na magari hayo kubeba watu wachache. Na hii ni kutokana na ratiba binafsi za wafanyakazi, kuna wanaowahi zaidi, kuna wanapitia maeneo mengine kabla ya kufika nyumbani/kazini kwaajili ya mambo mengine...
  2. R

    JamiiForums Tanzania SoC03 Responded Kitambulisho cha Taifa kiboreshwe ili kuendana na ulimwengu wa kidigitali

    Asanteni sana wanaJF wote mliopitia andiko hili na kupigia kura zilizosaidia andiko hili kushika nafasi ya pili. Ushindi huu ni wetu sote.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi Yakinifu: Bila chuki wala kuweka utaifa mbele Khaligraph jones katisha sana

    Kaligraph kuwadisi marapa wa kibongo hastahili hata kidogo japo anajua ila kuna nyimbo zake za ovyo sana.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mawazo ya biashara kwa mtaji wa Tsh. Milioni 2

    Utaletewa mkuu, vipo ila afya yake nadhani itakua ya ovyo sana.
  5. R

    JamiiForums Tanzania SoC03 Responded Kitambulisho cha Taifa kiboreshwe ili kuendana na ulimwengu wa kidigitali

    Ni kweli itasaidia kuongera usiri kwenye taarifa za musika
  6. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mlioko kwenye ndoa naomba ushauri hasa wanawake: Nilifumaniwa na mtoto wangu wa kiume

    Maumivu ya mtoto wa kiume kuona mama yake anachepuka yanaweza kuzidi hata maumivu ya kusalitiwa na mke wake atakapooa, kwakua mke anaweza kumtimua ila mama hataweza kumtimua na kumuambia mzee wake atahofia kuleta mgogoro kwenye familia. Kikubwa ukikubali kuolewa tulia, kama unajua huwezi...
  7. R

Back
Top Bottom