Recent content by RRM

  1. RRM

    Rasimu ya II ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Haiwezi kupigwa tena chini kilichobaki ni kura za ndio.
  2. RRM

    Operation Delete CCM: Lema, Lissu, Sugu, Machali watafanya mkutano Arusha leo

    Kuichukuwa nchi kuna hitaji hekima kubwa sana ,sii ushabiki, si Kelele,si vita, sii maandamano(Bali ni hekima peke yake) Na hekima hutoka kwa Mungu.
  3. RRM

    Katiba Na Ukungu Kwenye Kioo

    Chamsingi hapa ni kuikubali hii kwani kodi zetu zilizotumika kuindaa katiba si ndogo.
  4. RRM

    Upi ni msimamo wa BAKWATA kuhusu Katiba ya Sitta?

    Ya ngoso tumwachie ngoso mwenyewe.
  5. RRM

    Viongozi wa dini wapuuzieni CCM - kuombea amani

    Wengi wape, ndio busara.
  6. RRM

    Mabalozi Ujerumani, Uingereza, Marekani: Hatutahudhuria sherehe za katiba

    Ukawa nao hawaeleweki sometimes.
  7. RRM

    Rasimu ya II ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Kwakweli ukawa walikosea sana kuondoka ktk bunge la katiba, badala yake wangeshindana kwa hoja na maoni hapo wananchi wangewaelewa sana, kwani Kwa muda ule kama nikupotea kwa kodi zetu zilishapotea sana.
  8. RRM

    Rasimu ya II ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Kazi kwetu katiba hiyoooo.
  9. RRM

    Rasimu ya II ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Hii katiba wenzangu imekuwa kizungumkuti.
  10. RRM

    Kula kwa mamantilie ni risk

    Kweli ,ila wengine wako fresh hata mapishi wanayajulia sana.
  11. RRM

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Malalamiko yangu in kuhusu huduma ya wimbo ya mwito kwenye Simu , huwa mnaweza kumkata Mteja fedha kila anapokuwa na salio mila mpango nahii ilinitokea hadi nikaamua kujiondoa, acheni hayo mambo kuweni waminifu.
  12. RRM

    Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    Kaka hio nyumba in kubwa sana milioni 100 inakuhusu.
  13. RRM

    Ushauri kuhusu uchimbaji mdogomdogo wa Madini

    Nchi yetu inafaham fika mchango wa wafanyabiashara hapa nchini, sijui kwanini haiwadhamini.
  14. RRM

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Intanet monduli ni matatizo matup.
Back
Top Bottom