Recent content by rr4

  1. rr4

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kuongeza ajira Nchini na kugawana keki ya Taifa

    1. Wanasheria kusaidia ushauri wa kisheria katika kuingia mikataba ya biashara, kuuziana ardhi na kesi za mahakamani na mambo mengine. Kila kata iwe na wanasheria kulingana na vijini vilivyopo chini ya kata au katani peke yake. 2. Architect kwa ramani. Watu wanapata shida kupata ramani za...
  2. rr4

    JamiiForums Tanzania Tunaotegemea ulozi katika maisha yetu tukutane hapa

    Yamenikuta sana tu. Maombi na sala ndio silaha.
  3. rr4

    JamiiForums Tanzania Tunaotegemea ulozi katika maisha yetu tukutane hapa

    Hesabu 23:23 “Hakuna uchawi juu ya Yakobo, wala hapana uganga juu ya Israeli; sasa itasemwa juu ya Yakobo na juu ya Israeli, Mungu ametenda nini!”
  4. rr4

    JamiiForums Tanzania Nina haja nawe kila saa

    🙏🏿🙏🏿
  5. rr4

    JamiiForums Tanzania Vita ya wachawi na washirikina imenishinda uswahilini. Nahama nauza vitu vyangu vya ndani

    Ushuhuda ni kwamba sasa hivi ndio Niko kwenye mpambano na wachawi makubwa mno. Nilikuwa siamini uchawi upo ila baada ya kuangalia kwenye Bible nikauona. Najitahidi sana kuomba lakini Mimi ni mdhaifu, siko vizuri kwenye maombi ila namwomba Mungu anipe nguvu ya kuomba na natumainia damu ya Yesu...
  6. rr4

    JamiiForums Tanzania Vita ya wachawi na washirikina imenishinda uswahilini. Nahama nauza vitu vyangu vya ndani

    Kutoka 22:18 “Mchawi usimwache aishi.” Walawi 19:26 “Msile kitu cho chote chenye damu; msifanye uganga wala uaguzi.” Walawi 19:31 “Msiwaendee wenye pepo wala waganga; msitafute najisi kwao.” Walawi 20:6 “Mtu akigeukia wenye pepo na waganga… nitamkabili mtu huyo.” Walawi 20:27 “Mtu mwanamume...
  7. rr4

    JamiiForums Tanzania Nchi za kiarabu kwa miaka 78 zimeshindwa kuifanya chochote nchi ya Israel

    Brainwashed by the western media na staunch mnazi wa Western propaganda. Baki hivyo
  8. rr4

    JamiiForums Tanzania Nchi za kiarabu kwa miaka 78 zimeshindwa kuifanya chochote nchi ya Israel

    Werevu ni kufikiri unavyotaka wewe. Marekani na Israel walifikiri Iran ni Iraq au Libya, sasa wamekutana na mziki tofauti. Pale waliuwa viongozi Dola ikaanguka. Nyoka waliyekutana naye sasa ana vichwa saba. Kata kimoja vingine vinapumua. Pamoja na kuua viongozi wote hao umeona Iran ikilia Lia...
  9. rr4

    JamiiForums Tanzania Hezbollah waanza kufanya Wanachama wao wao zaidi ya 100

    Sasa huwezi kujadili kitu bila kumuita mtu mjinga???? Anyway kwani Marekani ana proxy wangapi duniani au kunya anye kuku akinya Bata ameharisha. Iwe ni proxy au sivyo iwe Lebanon ina Jeshi au haina jua tu kwamba hayo makundi ni kwa maslahi makubwa ya Mataifa yao.
  10. rr4

    JamiiForums Tanzania Nchi za kiarabu kwa miaka 78 zimeshindwa kuifanya chochote nchi ya Israel

    CNN waliruhusiwa kuripoti from inside Iran. Just Google it
  11. rr4

    JamiiForums Tanzania Nchi za kiarabu kwa miaka 78 zimeshindwa kuifanya chochote nchi ya Israel

    We una chombo chako cha habari unamiliki ambacho kipo Israel au unategemea BBC na CNN??? Israel amechapika na ataendelea kuchapika sana tu. Mbona anazuia waandishi wa hivyo vyombo vya magharibi kuonyesha uharibifu anaopata kwa kupigwa mabomu???
  12. rr4

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Tutaomba kuwa Wenyeji wa Kombe La Dunia

    🤣🤣🤣🙌🙌
  13. rr4

    JamiiForums Tanzania Nchi za kiarabu kwa miaka 78 zimeshindwa kuifanya chochote nchi ya Israel

    Makosa makubwa ni kutokuungana. Kama sasa hivi Iran anamtandika Israel sawasawa, waarabu wangesimama as one Muisrael hachomoi. Lakini Amerika imefanikiwa kuwagawa Waarabu.
  14. rr4

    JamiiForums Tanzania Hezbollah waanza kufanya Wanachama wao wao zaidi ya 100

    Waafrica sisi ni bendera fuata upepo. Yaani watu wanapigania maslahi ya Taifa lao na watu wao, sisi tunawaita magaidi kwa kufuata mkumbo wa Magharibi.
Back
Top Bottom