Recent content by rpclem

  1. R

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa Networking - MSAADA WA HARAKA!

    Unatumia Windows XP na Auto DHCP? Kama ndiyo then, Jaribu kuzibua TCP/IP stack kwenye PC zinazosumbua, pia flush DNS ukiwa kwenye dos command type ipconfig /flushdns then press enter Jinsi ya kuzibua TCP/IP stack: andaa faili tupu kwenye partition yako liite resetlog.txt au jina lolote...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

    Ahsante kwa nyuzi kuhusu kutafiti maana za majina mbalimbali ukumbini. Kama wasanii wafokaji "rap musicians" huwa na majina zaidi ya moja kuwasaidia kushamiri mbele ya wapenzi wa muziki wao. Kwa JF labda ni chanzo kizuri cha majadiliano kuwa Watanzania tuna uhuru wa kutoa hoja zetu bila woga...
  3. R

    JamiiForums Tanzania To system developers: What part of the development process do you consider security?

    Is your system going to operate in house or across the Web? Agreed on each and every step consideration, stressing on the initial design. Good place to start: http://www.sans.org/reading_room/whitepapers/application/security-scenarios-analysis-design_29
  4. R

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa Emaili yangu ya Yahoo

    Yahoo mail inahitaji kuruhusu cookies angalia settings za browser yako hakikisha inaruhusu cokies za Yahoo.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam gets a makeover with palm trees sprouting overnight

    Still it is a positive move as long as Dar become beautiful and green "Bandari Salama" Go Dar and spread more trees across the city.
Back
Top Bottom