Recent content by royal f

  1. R

    JamiiForums Tanzania Upendo Furaha Peneza: Umepotoka, Udaktari sio mchezo

    Menikumbusha mbaaali sn ilikua ukimalizana na biochem ya Nyambo unakutana na kitu Ntogwi..... Balaaa
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Daniel Moses, unapoongelea masuala ya tiba za binadamu hutakiwi kubahatisha wala kufanya majaribio, afya ya binadamu sio kitu cha kubahatisha, waache wataalam na mamlaka husika zisimamie mambo haya, haingii akilini unakurupuka huelewi ugonjwa, huelewi visibabishi, huelewi namna mwili...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Hospitali gani inafanya kipimo cha OGD?

    ni aina ya kipimo kinachotumia camera maalum kwa ajili ya kuvisualize njia ya chakula kuanzia level ya koromeo mpk sehemu ya kwanza ya utumbo mwembamba
  4. R

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu kubwa CCM kushindwa vibaya

    Na mimi nasema wapigwe tuuu
  5. R

    JamiiForums Tanzania Sijajisaidia kinyesi cha njano muda mrefu,nakunya cha kijani tu.

    Onana na daktr huenda kuna tatizo katika mfumo wako wa mmeng'enyo wa chakula au kuna tatizo ktk utengenezwaji au usafiridhwaji wa kemikali iitwayo bile ambayo hutengenezwa na ini na kuhifadhiwa ktk kifuko kiitwacho gall bladder, kemikali hii kwa kiasi kikubwa ndio hufanya kinyesi kuwa na rangi...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Times of Israel: Edward Lowassa is a reformer, partriot and a successful businessman

    No way out, we must uproot the Chama cha kijani
  7. R

    JamiiForums Tanzania Hivi MAGUFULI ashinde kwa sababu ipi? Tuwe wa kweli?

    Eee mwenyezi Mungu utujalie afya sie sote wenye ndoto ya mabadiliko ili tukaione trh 25 October na pia ukawapige upofu wale wote wenye hila za kishetani zilizodumu kwa miaka 50 katika taifa lako ili watu wako wapate kufurahia mema ya nchi yao......... Amen
  8. R

    JamiiForums Tanzania Majambazi wavamia na kuiba Pesa, CRDB tawi la Moshi

    Upo sahihi ni zoezi la utayari lililofanywa na jeshi la polisi
  9. R

    JamiiForums Tanzania Lowassa kuongoza kampeni ya 'Toroka Uje'

    Utasikia baada ya muda si mrefu mafisiem yamecopy na kupest as usual
  10. R

    JamiiForums Tanzania Lowassa na Kiingereza chake!

    Sikiliza kwa makini acha kukurupuka, kuna ameongea "to alleviate poverty" na "eradicate poverty "
  11. R

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Chato, Geita - Septemba 20, 2015

    Ni upuuzi na ni dalili ya fikra finyu, wasukuma hatuko maboya km ww
  12. R

    JamiiForums Tanzania GE2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

    Come Oct 25, baada ya kusikia NEC wametaka kila mtu apigie kura alipojiandikishia fasta nimeahirisha likizo yangu,
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kimenuka Lumumba, Makongoro na Timu ya Kampeni watoa Dukuduku

    Mkuu umeandika kwa hisia za hali ya juu sana, hima watanzania wenzangu tuitumie fursa vzr hapo 25 October, tuondoe hili giza nene lililowekwa na hili blanket la kijani
  14. R

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Best of luck to lowasa
  15. R

    JamiiForums Tanzania Kutoka viwanja vya Barafu Dodoma kampeni za Urais kupitia UKAWA

    Natamani October 25 iwe kesho ili tuyanyonge haya masimbilisi ccm, apa nimetoka kukisafisha kichinjio changu na kukirudisha kwenye briefcase yangu
Back
Top Bottom