Recent content by Roy Logan

 1. Roy Logan

  Prof. Lipumba: Rais Samia hawezi kukwepa lawama kuhusu kukamatwa kwa Mbowe

  Marais ambao hawakujiandaa kushika madaraka wataitesa hii Nchi, kinachotokea kwa Samia ndicho kilichotokea kwa Marehemu aka Shujaa Magufuli, wote hawa U - rais wameupata kwa kukutana nao kwenye kona, hawakujiandaa na stress za upinzani, stress za uchumi wala stress za Jamii, hasa katika dunia...
 2. Roy Logan

  Rais Samia anaogopa vipi chama kisicho na mbunge?

  Wanajua kabisa kwamba CDM ni Wananchi, Mbowe na wenzake ni madereva tu, chama kipo ndani ya mioyo ya Watz wengi.
 3. Roy Logan

  Ukwepaji Kodi umezidi. Serikali ibuni mfumo mzuri wa ulipaji Kodi

  Watanzania muda mwingine ni kama hatujui tunataka nini, tukipelekwa huku tunalalama, tukipelekwa kule tunazingua, naunga mkono hoja kwamba pamoja na Mh. Rais kusema TRA wasitumie mabavu lakini waje na staili ya kuwabana wafanyabiashara kwenye suala la kodi, wawe serious, uzembe umezidi kwenye...
 4. Roy Logan

  Kazi kubwa ya Serikali ni kurudisha Imani ya Wananchi kwa Serikali yao

  Nataka kuamini kwamba hajashikiliwa kwa ubaya, kama hesabu zake zipo vizuri na wala hakuwa na hila kwenye mambo ya kodi bila shaka watamuachia au watayajenga mambo yaishe na kauli ya mama ibaki na heshima yake, tusubiri matokeo angalau Takukuru na TRA ya wakati huu sio ile ya Shujaa.
 5. Roy Logan

  Maisha yanakwenda Speed sana, Leo eti CCM hawaiamini TAKUKURU wala Mahakama

  Wakiongoza kwa haki hakuna mwenye shida, hata wakae milele poa tu, ila wezi wote wawe wanapostahili.
 6. Roy Logan

  Maisha yanakwenda Speed sana, Leo eti CCM hawaiamini TAKUKURU wala Mahakama

  Ndio tujifunze kupitia mambo kama haya, wakimalizana na Sabaya wamtafute Makonda naye, nina hakika ipo siku tutwaona MATAGA wameenda kutambika CHATO.
 7. Roy Logan

  Pendekezo: RC Antony Mtaka ateuliwe awe Waziri wa TAMISEMI

  Kwani hii Nchi nani sio mpigaji, labda sisi tunaohangaika na keyboard hapa JF, maana naona kila kiongozi anayeinuliwa kuna watu wanajua udhaifu wake, mara kaiba, mara mitandao inambeba, mara kala hela za mradi, hii Nchi ni ngumu.
 8. Roy Logan

  Genge la Kihalifu la Sabaya, ni kweli Hayati Magufuli hakulijua? OCD Hai unafanya nini kazini mpaka muda huu?

  Kwa hili nawaza sana kuhusu Hayati JPM, aliwezaje kuona na kujua kwamba chanjo za COVID, BARAKOA ni hatari kwa Watanzania ila asijue uhalifu wa huyu Jambazi, JPM alikuwa anaipeleka hii Nchi kubaya sana, nina uhakika Mungu wa mbinguni aliona hili akaamua kutuepusha na shari mapema.
 9. Roy Logan

  #COVID19 CNN: After death of Covid-denying president, Tanzania sets roadmap to combat the virus

  Hiyo Title waliyompa Shujaa sio poa kabisa......Mabeberu Bwana!
 10. Roy Logan

  Mbowe: CHADEMA ilianzishwa na watu waliopinga ukandamizwaji kiuchumi na kijamii

  CHADEMA, Sera na misimamo ya chama hichi imenifanya nifuatilie sana siasa, CDM kitabaki pasua kichwa kwa CCM wakati wote, wanakuja vibaraka, mapandikizi na kila aina ya wachawi wanajaribu kukifuta ila wanafutika wao, Salute Kamanda Mbowe.
 11. Roy Logan

  Udhaifu wa Serikali hii tutakuja ona madhara yake baadaye. Leo ni ishara ndogo mojawapo

  Chief umenijibu kishabiki kweli, yani kama unajua mimi ni shabiki wa yanga vile.
 12. Roy Logan

  Udhaifu wa Serikali hii tutakuja ona madhara yake baadaye. Leo ni ishara ndogo mojawapo

  Hivi kweli Bi mkubwa ndio kasababisha game isogezwe mbele, mimi najiuliza tu Simba walijuaje kwamba mchezo umesogezwa mbele wakachelewa kuja uwanjani kwa muda uliopangwa mwanzo.
 13. Roy Logan

  Rais Samia, unawajua Wakenya?

  Chief, nimesema hayo yote yafanyike kwa utaratibu, biashara zote zinafanyika kwa ujanja, hata sisi Watanzania wenyewe kwa wenyewe tunafanyiana biashara kiujanja, chukulia mfano mdogo tu kwamba Diamond anawanyonya waliochini yake, wengine wanasema marehemu Ruge alikuwa anazulumu wasanii, huo ndio...
 14. Roy Logan

  Rais Samia, unawajua Wakenya?

  Mazingira yapi Hayati alianzisha kuwafanya Watanzania kuwa Mabilionea, zaidi sana tulikuwa tunasikia vilio biashara zikifungwa kila kukicha.
 15. Roy Logan

  Rais Samia, unawajua Wakenya?

  Nimeishi nao, nimefanya nao kazi na ninaendelea kufanya nao kazi, inawezekana kweli kuna changamoto, ila pia zipo hata kwetu Watanzania.
Top Bottom