Recent content by Roy Keane

  1. Roy Keane

    Kwanini vibonge wengi wana roho nzuri?

    Ukioa mwanamke bonge ukiliambia kitu linakusikia, kwenye mabishano ukilishtua "weeeeeh" linatulia. Sasa hivi vinjiti hivi ndio balaa
  2. Roy Keane

    Hoja za Waombaji Ajira za Waalimu

    Cheki hapa , ajira zatangazwa Kila siku
  3. Roy Keane

    Nauza Blog yangu

    Hizo ni za adsterra
  4. Roy Keane

    Nauza Blog yangu

    Blogger blog Iko mezani nauza. Bei ni Laki 2 , ukinunua nakupa na channel yake ya Telegram.Blog hii hapa . Nicheki DM
  5. Roy Keane

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Usijali kiongozi, ni kipindi cha mpito hiki
  6. Roy Keane

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kama unatokea msimbazi kariakoo ulizia kituo cha gerezani panda gari zinazoenda mbande wambie wakushushe ufundi
  7. Roy Keane

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kuna baadhi ya kada wameshamaliza usahili, na Kuna baadhi bado wanamalizia kesho
  8. Roy Keane

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Tunafanyiwa usajili muda huu
  9. Roy Keane

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Sawa sawa mkuu, Bado sijaelewa ni sehemu gani kikosi Cha tehama kinapatikana kiongozi, kutoka kwenye maelezo ya Bia Ya Moto ni kilwa road maeneo ya bandari nimecheki kwenye google maps naona Kuna kilwa Rd police na Police College sehemu hizo je ni maeneo hayo ?
  10. Roy Keane

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Nimeangalia eneo hili kwenye google maps lakini sina uhakika, je ndio maeneo ya kilwa road police kiongozi
  11. Roy Keane

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Asante kiongozi
  12. Roy Keane

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Wale watu wa forensics tuishi humu 1.How can fingerprints be used to identify suspects? 2. What types of DNA analysis are used in forensic science? 3.How can ballistics evidence be used to link a crime scene to a specific weapon? 4. How can trace evidence, such as fibers or hair, be used...
  13. Roy Keane

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Mkuu Dystonia7 naomba kuuliza kikosi cha tehama Kiko maeneo gani?
Back
Top Bottom