Recent content by Rowena2021

  1. R

    JamiiForums Tanzania Manji kuwasili polisi nje ya utaratibu ni ukaidi; ajiandae kulala sero

    Kwa hiyo akiwa mfadhili ndio aue watu,, haijalishi kasaidia kiasi Gani...na hizo mnazopewa ndio za sembe
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Kajala kuhusishwa na video chafu ya ngono

    Mange anamleaje mwanaye,,mama mtu mzima kavaa sidiria dunia nzima inaona alafu unasema alikuwa anamlea mwanaye vizuri, hivi wewe ungetakiwa Cassandra uone mama yako anavaa vitu vya ajabu vile ungefurahi...Wote hao ni wale wale..unamuacha mtoto usiku unaenda tiwa mtoto mdogo Yule ndio ana bebysit...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya muda wa kumaliza mshindo mmoja

    Kwa kweli, Ngoma mie na Mme wangu lisaa au zaidi
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ni Rais Gani wa Tanzania aliyepoteza mvuto na kuchokwa na Watanzania mapema sana?

    Na bado, wapiga deal lazima mumchoke mapema...mitoto midogo utakuta inashinda bar haitaki fanya kazi
  5. R

    JamiiForums Tanzania Inaundwa tume kuchunguza kaburi la faru John

    Shida yetu mnataka muachiwe ili na kesho wengine wafanye same thing...tunamtaka Jon wetu
  6. R

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuna shida gani

    Yaani niko marekani hakuna anayeongelea uchaguzi huo umeshapita wenzenu Sasa tunachapa kazi, Ila kila Kona ya Tanzania bado wanaongelea uchaguzi hivi tunShida gani, tafuteni ya kufanya after all haiwasaidi Chochote.. wenzenu wameshakubali siasa mpaka tena baada ya miaka minne
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mtoto aliyepandikizwa betri moyoni afariki dunia

    Jamani marekani watu wanaishi nazo hata for 30 yrs sema tu labda utaalamu uliotumika
  8. R

    JamiiForums Tanzania Maongezi vijana wa Tanzania; 96% ni pumba

    Utandawazi uko Tanzania tu, watu nchi za nje wanachapa kazi Kwanza mambo ya utandawazi baada
  9. R

    JamiiForums Tanzania Aliyeuliza hobbies za Rais ni mhariri wa gazeti gani?

    Hawana kazi , ndio maana wameambiwa baada ya kufikiria vitu vya maendeleo wao ni kukaa na kuanza umbea
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kuna ambaye aliwahi kushinda hii green card ya Marekani?

    Waache watucheke tumejenga mijumba Kwa kuchambisha, na wadogo zetu hawalili mikopo ya serekali.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mungu wa Rais wetu ni Yupi?

    Kabisa. Na wanalalamika walizoea njia za mkato, sisi ngoje tupige kazi
  12. R

    JamiiForums Tanzania Anayetuhumiwa kutoboa macho Buguruni DSM apandishwa Kizimbani

    Kwa nini police wasipite sehemu yenye umati wa watu alafu wajifanye wamemsahau kidogo, alafu wanancchi wamtoboe naye hayo macho makubwa kama ndulele
  13. R

    JamiiForums Tanzania Video ya unyanyasaji: House girl akimtesa mtoto

    Aiseee mimi niliacha kazi tena nilikuwa nalipwa vizuri kuliko Mme wangu Ila for the sake of my kids forget it...tena wakifikisha miaka mitano wanaenda shule hapo ndipo nitafanya kazi Ila wakitoka na mimi niko home
  14. R

    JamiiForums Tanzania Video ya unyanyasaji: House girl akimtesa mtoto

    Labda kamezoea kupigwa kila siku masikini
Back
Top Bottom