Watanzania tuna shida gani

Rowena2021

Member
May 19, 2013
21
13
Yaani niko marekani hakuna anayeongelea uchaguzi huo umeshapita wenzenu Sasa tunachapa kazi, Ila kila Kona ya Tanzania bado wanaongelea uchaguzi hivi tunShida gani, tafuteni ya kufanya after all haiwasaidi Chochote.. wenzenu wameshakubali siasa mpaka tena baada ya miaka minne
 
Kwamba umeanza kujiandaa kurudi tz
 
mbona ume generalize sasa. Unauhakika watanzania wa kila kona bado wanaongelea huo uchaguzi.. Acha unafki mpuuzi wewe et unasema uko Marekani,, halaf unasema kila kona ya tanzania Bado wanaongelea uchaguzi Kona zipi hizo, hivi unaakili timamu wewe? kwenda kanye ulale huko.Kumbaf
 
Mi niko Igangitoroli huko interior village, hawamjui hata huyo Trampu n mdudu gani, aisee usitupe shida, kwanza inabd uje kutafta room huku na kaz maana naskia huyo mdudu waliemuweka hatak ujinga na weusi.. af kazi hamna huku nilisahau kukwambia, we njoo tu kupiga debe.
teh teh teh my ribs
 
Kweeeenda zako huko.., bichwa lako ndio lina shida.., watz tumetulia tunaenjoy utawala wa Rais wetu mpendwa, Hapa kazi tu, na starehe juuuuu...!!
 
Watu mnapenda sifa kama nn! Kama upo marekan una nauli kurudi bongo? Sifa znaua!
 
Back
Top Bottom