Recent content by Rotomoto

  1. R

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Nimeona vibanda vya Walinzi wanaolinda Reli ya SGR njiani, sijaona vyoo wanavyotumia! Wanajisaidia wapi?

    Sehemu ya kula ipo?, maana kama hawali hata kujisaidia kutakuwa adimu
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mwanajeshi Afufuka: Arudi Nyumbani Baada ya Mazishi

    Ko hata DNA ilidanganya?
  3. R

    JamiiForums Tanzania Sasa tunaelekeze macho Vita vya Horms

    Ko sasa haizungumziwi tena regime change, sijui nuclear
  4. R

    JamiiForums Tanzania CAG: Mradi wa ujenzi wa Uwanja Arusha ulikadiriwa bilioni 187, mkataba ukasainiwa bilioni 338

    Mi mwenyewe huwa najiuliza lengo la hizi report ni nini?, wanaishia kuzisoma na kurumbana bungeni baada ya hapo mjadala unafungwa, ndo maana hawajali report za CAG hazina mwisho wa kuwajibishana wanaendelea na mipigo wakijua itasomwa na itafungwa
  5. R

    JamiiForums Tanzania Iran yakishambulia kituo cha Nyuklia cha Dimona na kukiharibu kabisa

    Ajabu zaidi wanasema Iran ameishiwa saizi anarusha chache, pamoja na kusema wanamiliki anga la Iran wameshindwa kuzuia hizo chache mpaka zinafika. Mi naona Dunia imechanganyikiwa.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    Waweke vyepesi kuscroll mpaka juu ni shida zaidi
  7. R

    JamiiForums Tanzania Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    Hatuoni vitufe vya next na back
  8. R

    JamiiForums Tanzania KERO Hivi inakuaje maji hayatoki na bili ipo pale pale. DAWASA acheni michezo

    Maajabu memgine ni pale maji yamefikishwa kwenye tank yanakuja kufunguliwa yanarudi tena mtoni kwa kisingizio yamekuwa mengi wakati huohuo watu hawapati wamefungiwa eti mgao siyo siku yao kupata maji, najiuliza hayo yanayorudi mtoni kwanini yasipelekwe kwenye line iliyopp kwenye mgao analai...
  9. R

    JamiiForums Tanzania US MILITARY OFFICIAL: Meli ya USS Gerald R. Ford ilipata changamoto ya kuwaka moto wakati wa doria

    Yaani kipindi cha mvutano hitlafu nayo ikaona ni mda sahihi wa kutokea na kusababisha moshi wote huo?
  10. R

    JamiiForums Tanzania Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    Miundombinu ya kuwalindia wenzie haina uwezo tena kichobaki ni kuwalinda kwa maneno sijui wataendelea kumuamini awalinde, yaani katia aibu mameli yote aliyotuma yameshindwa kumlinda hata yeye mwenyewe
  11. R

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Putin kashindwa kufanya kwa Zelenskyalichofanyiwa Ayatollah wa Iran na Marekani?

    Nadhani anajua umri wa mtu una mwisho atajifia tu, lakini ardhi ni endelevu kizazi na kizazi
  12. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Disco lililoingia Mmasai.

    Maigizo hayo kuna kavideo kanaonyesha wanakunjana hivyo wakaanza kusukuma gari kwenye vumbi, wanajiangusha kwenye vumbi
  13. R

    JamiiForums Tanzania Wachina kwa Magwalide hawajambo sana!!!

    Utafikiri ni kiwanda machine au mitambo ipo on inafanya kazi
Back
Top Bottom