Nakuunga mkono Keynes, kwa nn mtu udharau jaman, do u thnk u are the best than others academically? Kila mtu amepewa karama yake bwana, acheni dharau sio lazima kucoment kila unachokiona, waacheni wengine hekima na busara za Kitaaluma watoe ushauri makini kwa wenye shida; umasikini utaisha lini...