Natafuta kazi za Research

Natafuta kazi za Research

naprefer kufanya kazi na research firms hasa kwa permanent contract, nimejaribu zote nimekosa, so i have to hustle kuendelea kutafuta hata hizo za part time

Kazi za permanent kwa research firms hasa hizi za Market research ni chache sana,kwa kifupi hawaajiri sana sana ni tempo kaka,kama kuna project unaitwa mnafanya kazi,muhimu ni uwezo wako katika uwanja wako,ukiwa nguli ndio utathamaniwa na utahitajiwa kila mahala,kwa Tanzania hii kazi ya research haijakomaa sana tofauti na Kenya,hata malipo si makubwa sana ,lakini kwa malipo nikote hapa EA si Kenya wala Tanzania wala Uganda,pia tatizo ni kuwa kazi nyingi zinakuwa kiwango cha chini na ndiomaana client si wengi na hawatoi hela nyingi,wakusanya data wengi si wakweli,wanapika data,matokeo yake client wanakataa kulipa hela na sana sana hutoa hela kiduchu,matokeo yake hata ajira za kudumu zinakuwa hakuna.Huko kwingine kama kwa akina REPOA,Takwimu NIMRI ,Ifakara kuna wenyewe na huko ndo unaweza kupata ajira ya kudumu
 
je mnaweza kufanya research ya kiswahil?
 
Je unaweza kuifanyia search akili ya JK, manake haieleweki na wanajamii.

manake anajua kilichosababisha uhuru kufikishwa "ze hegi" na yeye anarudia kilekile.

Changamkia tenda.
 
naprefer kufanya kazi na research firms hasa kwa permanent contract, nimejaribu zote nimekosa, so i have to hustle kuendelea kutafuta hata hizo za part time

Nitafute kijana, napenda vijana wenye bidii kama wewe.
 
Ahsante sana bwana Sahil kwa kunifungua wapi kaz za research zipo, nilienda na nikapewa maelekezo na bado nafuatilia
 
synovate wazushi tu wanazingua sana malipo pale,pia kuna secretary wao mmoja mdada anamashauzi sana,tafuta pengine mkuu pale utapoteza muda wako bule,
 
je mnaweza kufanya research ya kiswahil?

Mimi ninaweza ndugu nimemaliza shahada ya kiswahili ya Chuo kikuu cha Dar es Salaam, na tasinifu yangu nimeifanya juu ya kiswahili katika TEHAMA. Kwa ufupi nina ufahamu mkubwa katika taluma za kiswahili, nitafurahi nikishirikiana na wewe katika utafiti wa kiswahili.
 
Wasiliana na EAC, mail eac.int omba kazi kwenye projects.
Weka CV zako na job/research experience, yumkini ukafanikiwa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom