Recent content by Rose Bud

  1. Rose Bud

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Akimbia utamu wa mama na binti zake

    Mimi si madogo, na hiki kisa kimemkuta mtu kweli. Unaweza ona ni kama utani, lakini imetokea
  2. Rose Bud

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Akimbia utamu wa mama na binti zake

    Lazima, wangejuaje!
  3. Rose Bud

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Akimbia utamu wa mama na binti zake

    Mkasa mkasaaa. Mkasa huu nilisimuliwa zamani kidogo na jamaa yangu mmoja lakini umenikaa kwa kichwa hadi leo. Haya mkasa huu ulimtokea kaka mmoja akitokea moja ya nchi za Afrika ya mashariki, alipoenda kutafuta maisha katika moja ya nchi za mashariki ya kati. Bwana huyu alipata kazi ya udereva...
  4. Rose Bud

    JamiiForums Tanzania Je, hizi zinaweza kuwa ni sababu za ongezeko la UTI?

    Una maanisha nini haitishi? Niko interested kwasababu UTI sio kitu chakuwa common kwa jamii kama ilivyo huku kwetu.
  5. Rose Bud

    JamiiForums Tanzania Je, hizi zinaweza kuwa ni sababu za ongezeko la UTI?

    Urinary Trach Infection U.T.I . Sina uhakika kwa kiswahili but ni maambukizi ya kwenye mrija wa mkojo.
  6. Rose Bud

    JamiiForums Tanzania Je, hizi zinaweza kuwa ni sababu za ongezeko la UTI?

    UTI si STI kweli, ila nyuma kuna vijidudu ukivipeleka mbele vinaweza leta maambukizi kwenye mfumo wa mkojo. Vijidudu ambavyo sio vya STI.
  7. Rose Bud

    JamiiForums Tanzania Je, hizi zinaweza kuwa ni sababu za ongezeko la UTI?

    Weee kuna man made gonjwa! Lipi tena hilo?
  8. Rose Bud

    JamiiForums Tanzania Je, hizi zinaweza kuwa ni sababu za ongezeko la UTI?

    Unajua ile kitu inajisafisha yenyewe automatically na continuously, nakutupa takataka nje, usipozoa ( kujisafisha) kisamaki kinakuhusu
  9. Rose Bud

    JamiiForums Tanzania Je, hizi zinaweza kuwa ni sababu za ongezeko la UTI?

    Wagonjwa wanaojisemea wana UTI naona wanafikiri dawa za UTI (antibiotics) zitatibu gonjwa lolote walilokuwa nao
  10. Rose Bud

    JamiiForums Tanzania Je, hizi zinaweza kuwa ni sababu za ongezeko la UTI?

    Kwa miaka ya hivi karibuni watu wanaokuwa diagnosed na UTI imeongezeka maradufu. Katika kutafuta sababu nimekuja na sababu tatu ambazo zinazoweza kuchangia. Wakuu, je wewe unadhani ipi ni sababu kubwa kwa ongeze la ugonjwa huu kati ya hizi A: Ongezeko la mwanawake wa sikuhizi kushindwa...
  11. Rose Bud

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu na Marekani msaada nahitaji

    Ninja kasema mpambane humohumo hakuna kukimbia, au mwenzetu unapakupenyea?
  12. Rose Bud

    JamiiForums Tanzania Bei hii ni motoooo

    Sikuwa naihitaji ila nilikuwa naitaka, nikapata mshtuko nasi baiskeli.
  13. Rose Bud

    JamiiForums Tanzania Bei hii ni motoooo

    Waaah, sijawahi waza kuna baiskeli za bei hii. Eti $ 11,999.99. Na hapo bado nitumie miguu yangu kuisukuma huko milima ya uluguru, na hapo inakuja bila pedals, hizo unalipia extra.
  14. Rose Bud

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo, kutimuliwa toka kwa Trump

    Hahahahaha, ntie moyo kidogo ndugu.
  15. Rose Bud

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo, kutimuliwa toka kwa Trump

    Mipaka iko wazi mkuu, maana kuna muda ilifungwa watu wakawa hawana pakuuzia
Back
Top Bottom