Recent content by Rosca

  1. R

    JamiiForums Tanzania Shortcourses and training

    jaman wadau natafuta nafasi kwa ajili ya short course au training specifically zinazohusu mambo ya sayansi particulary laboratory works, research methods, nematology, pathology and plant pest and diseases kwa hapa Tanzania kuanzia mwez wa saba, gharama ni juu yangu. Mwenye information yoyote...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    Wakuu kama hukusoma phy na chemia, afu biology una C, daraja ulilopata ni 4 ya 26 unaweza kwenda coz zip za mambo ya afya
  3. R

    JamiiForums Tanzania Jamani UDOM kunani?

    Jaman mwenye updates zozote kuhusu ajira za UDOM maana tulifanya interview toka mwezi Desemba. Mpaka leo naona kimya au watu walishaitwa? Msaada please anayefahamu maana ngoja ngoja yaumiza matumbo
  4. R

    JamiiForums Tanzania UDOM, TA's UPDATES

    Maana mpaka leo naona kimya kama kuna mwenye taarifa zozote tafadhali tusaidieni
  5. R

    JamiiForums Tanzania UDOM, TA's UPDATES

    Tuliofanya interview nafasi za TA's, college of Natural sciences, tuliambiwa majbu Januar mwishon, kuna mwenye updates?
  6. R

    JamiiForums Tanzania Udom wameita tena college of natural and mathematical science

    Mkuu tupe uhakika ndugu zetu wasipoteze nauli
  7. R

    JamiiForums Tanzania Biologist

    Heri we unayejua pa kwenda, dunia mapito 2.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Biologist

    Specific kwenye issues za ecology, zoology, botany or environments
  9. R

    JamiiForums Tanzania Utumishi mjichunguze kuhusu uadilifu wa kazi yenu,baadhi yenu sio waaaminifu

    Bongo hiyooooö, napta 2.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Biologist

    Nina degree ya Bsc.Biology from UDOM, natafuta mahali popote pa kuvolunteer especially kwenye issues za ecology, molecular bios, zoology or environments msaada wenu tafadhali great thinkers
  11. R

    JamiiForums Tanzania Hi wapendwa!

    Jamani nawasalimia 2 wenyeji. Hiiiiiiii
Back
Top Bottom