Acha kumdanganya mwenzio, 14m ndio ununue viwanja vitatu vya square meter 800???? Lamda sio Dar. Viwanja vilivyo pimwa vinauzwa kwa square meter. Hiyo pesa ni ndogo sana.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Njoo Kigamboni jirani na manispaa ya Kigamboni block 16 ni surveyed plot, ninavyo viwanja 14M. Njoo inbox kwa maelezo zaidi.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Wewe akili huna kabisa, hiyo gari inapita hizo nchi ili kupata abiria, kumbuka hiyo ni bus ya abiria sio tax
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Sio bure mkuu mambo mengine ni yakuyajenga inbobo. Siwezi kuweka Kila kitu hazarani ndio maana nilisema nitamtunza mtoto na pia hauzi kumtunza mtoto bila mamake kufaidi.
Husika na kichwa cha habari hapo juu. Mimi ni kijana wa kitanzania, miaka 36, dini mkristo, elimu Msc, kazi mfanya biashara.
Natafuta mwanamke ambaye ninaweza kuzaa nae mtoto au ambae anahitaji kuzaa mtoto. Matunzo yote ya mtoto ni juu yangu mimi kama baba.
NB: Ambae yuko tayari kuzaa mtoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.