Recent content by Ronis Kabelege

  1. R

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi za udereva

    Kampuni ya Hardco traders & Intergic Ltd, yenye makao makuu mjini Tanga na sasa imefungua matawi mikoa ya Iringa, Ruvuma na Morogoro sasa inatangaza nafasi za kazi ya udereva kwa magari makubwa na madogo. Mwombaji awe tayari kuingia mkataba wa kazi na kampuni. Pia awe tayari...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Shamba zuri linauzwa.

    Shamba zuri linauzwa kwaajili ya kupanda miti lipo Njombe Lupembe lina ukubwa wa ekari 900 @ ekari Tsh 100,000. maelewano yapo. kwa anaye hitaji mawasiliano ni 0757003302.
  3. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu visumbuzi vya azam

    Du! Mkuu sory ni kweli kwamba nikiongeza LNB nitapata hizo chanel kama star tv, itv eatv? Na LNB zipi kama KU au?
  4. R

    JamiiForums Tanzania Nakodisha toyota verossa 2004,black,reg:t568ckc,comppre ssive insured

    mie nataka ya kununua big.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi jamani!!!

    Mkuu na mie natafuta kazi ya udereva. Kama kuna mchongo nisitue elimu yangu kidato cha 4. Nina uzoefu wa miaka mitano barabarani. Nina lesen daraja A,A2,B,D na E. Mawasiliano 0757003302
  6. R

    JamiiForums Tanzania Gari inauzwa

    Mkuu mm nina cash 4ml kama inapanda nitafute kwa 0757003302.
  7. R

    JamiiForums Tanzania jobs,jobs,jobs

    Jamani wana JF mbona matangazo ya udereva hayawekwi humu. Natafuta nafasi ya kazi hiyo.
  8. R

    JamiiForums Tanzania naitaji shamba la bei nafuu

    Njombe kuna mashamba mengi yanauzwa. Mfano ekari 100 kwa sh ml 4. nitafute kwa 0757003302
  9. R

    JamiiForums Tanzania Tangazo la ajira kutoka jsa agency ltd tanzania

    Mie niko tayari. Nahitaji kazi ya udereva magari makubwa na madogo. Naomba nipate maelekezo mawasiliano yako ni 0757003302/roniskabelege@gmail.com
  10. R

    JamiiForums Tanzania naitaji shamba la bei nafuu

    Unahitaji hapo dar au mahali popote? Na lenye ukubwa gani?
Back
Top Bottom