Natafuta kazi jamani!!!

Natafuta kazi jamani!!!

Oyono

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2013
Posts
222
Reaction score
35
Wadau naombeni kazi!, fani yangu ni dereva lakini nikipata hata ya ukonda nitafanya hasa kwenye magari makubwa!, jamani tusaidiane watanzania!!!
 
Mkuu na mie natafuta kazi ya udereva. Kama kuna mchongo nisitue elimu yangu kidato cha 4. Nina uzoefu wa miaka mitano barabarani. Nina lesen daraja A,A2,B,D na E. Mawasiliano 0757003302
 
Madereva wanapendana sana ova smookers. Tatizo huku maofisini huku... All the best guys!
 
Back
Top Bottom