Hapa ume maliza kila kitu, hakika hakuna shortcut inahitaji ujiwekeze haswa. Nimefanya msimu huu kama pilot phase lakini nime jitosa haswa haswa nategemea mwakani nisahihishe makosa ya mwaka huu
Budget niliyo weka imepitiliza by 15% mpaka sasa na hapo nime lihudumia shamba kweli kweli kama vile mtoto yuko hospitali anaumwa.! Kwa kifupi haya mambo bila extra budget unakua na hali mbaya sana
Pole sana, nime panda so far palizi ndo imekua ishu maana ukioiga dawa mvua inaosha dawa, ukitaka kuweka watu kwa manual palizi mvua zina kwamisha kazi.. inshort ndo kitu pekee kimeni kwamisha mpaka sasa ila yanaenda vizuri kiasi chake
Nimejaribu kufanya kilimo cha mahindi msimu huu wa kilimo and let me tell you something maina, kilimo is not for the weak[emoji1430][emoji1430].
Hamna rangi sija acha ona lakini as they say maji ukisha ya vulia nguo sharti uyaoge so we move [emoji817].
Kwanza toa mentality ya kwamba you have to prove yourself, pambana kwa kadri ya uwezo wako ila si kwa kuonyesha you need to prove yourself.
Kama hukuweza save chochote it’s okay ila kwa huu mwaka wa mwisho pambana upate saving kwa namna yoyote ile kutoka boom kama unalo au hata hela unayo...
If I didn’t have people to take care of I don’t think worrying about getting another gig would be one of my worries but again yeah I have that sorted out already nadhani ni mawazo ya ku switch ndo yananisumbua zaidi. Asante sana kwa mawazo haya kaka.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.