Kazi na maisha

Kazi na maisha

Mleta mada find a book titled..THE COURAGE TO BE DISLIKED by Ichiro kishimi...

Utakuja kunishukuru baadae!
 
I don’t know if this is the place to put this ila I just need somewhere to vent

Najua kuna watakao kuja na matusi na kejeli but ni vile I’m ready for all that throw everything you have at me atleast maybe I will feel better then

So I have this job I currently hold, kwa standard za Tanzania I can say ni well paying job, I’m not actually bragging cause I know people who get paid way more than I do.

Thing is I don’t feel my purpose in doing this job. Kazi ina ninyima uhuru, I literally don’t have a life. I can’t socialize anymore, can’t hold on to relationships yani I can’t even better my life in ways I imagined this job will let me do.
Karibu uraiani utange na jua ndiyo utaona thamani ya kazi uliyo nayo. By then it will be too late to go back because someone has grabbed it already.
 
Karibu uraiani utange na jua ndiyo utaona thamani ya kazi uliyo nayo. By then it will be too late to go back because someone has grabbed it already.

My point si kuacha tu kazi kama umesoma vizuri ni how will I balance kazi na my personal life. Anyways nashukuru kwa mchango wako mkuu.
 
kuna jambo dogo sana ukilitambua utakua sawa, sema kulitambua ni kazi...
Jaribu kujua unaishi mara 1 chagua kufurahi tafuta mtu ambae anaelewa maisha yako utakua sawa. Mimi tangu nitambua naishi mara moja nmeona ni heri nitumie muda wangu kutengeneza historia ya furaha hata kama ni jobless ila najua yapo mengine mazuri ninayo ambayo yanhitajika kwa jamii yangu... binadamu sikuzote huchoka kufanya jambo moja kwa mda mrefu/ haturiziki mfano; mimi natafuta kuwa busy kama wewe ila baada ya mda nitachoka ntatamani kuwa huru
Uhuru unaoutafuta uko kichwani kwako, Fanya maamuzi sahihi usijutie kila kitu kina furaha ndani yake fanya ndio maisha uliyoyachangua

Very positive, asante sana kwa ushauri huu nita ufanyia kazi.
 
Yaani kila siku mi nasema hivi nikipata kazi ya mshahara wanataka saa 9-10 evening i will quit this job I have 1.5+m kutoka usiku wa manane
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom