Recent content by RomaGod

  1. R

    Muda unaoruhusiwa kisheria kwa expert kuishi Tanzania

    Nadhani anatakiwa aishi kulingana na muda wa kibali chake kinavyoonyesha ingawa anaweza kurenew inapobidi mana inategemea na field iliyomleta!!
  2. R

    Historia ya Kabila la Wahaya

    Unajua kitu kinachoitwa misuse of resources? Umeletewa nishati ya umeme karibu ila kuitumia ndo tatizo ni sawa na wewe kusema mifugo yako unaiwekea umeme. Labda kwa kuku wa nyama ndo tunafanya hivyo kwa ajiri ya joto has a hawa kuku wa kisasa.
  3. R

    Historia ya Kabila la Wahaya

    Hata ng'ombe wangu wanalala kwenye zizi liliozekwa vizuri na chini nawatandikia majani mabichi ambayo yanasaidia kukusanya kinyesi chao kwa urahisi. Ukienda mbeya kule Kyela unaweka kuwa umekaa sebuleni kwa mtu unaona mifugo inakatiza sebuleni kwenda sehemu yao ya kulala.
  4. R

    Historia ya Kabila la Wahaya

    Nenda kusini kuanzia pale mikindani ,tandahimba ,newala ,kitama mpaka mtama maisha ni magumu maji na chakula ni shida. Sasa anzia Tunduru,Namtumbo mpaka Nyasa ndo utajionea Tanzania yetu bado tuna safari ndefu. Kwa Nenda Iringa kule Mufindi au Njombe Makete ! Tembea Chunya au Kule Usangu na...
  5. R

    Historia ya Kabila la Wahaya

    Sema unatokea mkoa gani ili tukutuonyeshe hali ya eneo lile? Nilienda Kilimanjaro airport nilisikitika sana kweli hii ndo airport ambayo wataliii wengi wanapitia! Poor infrastructure!! Nenda Rombo huone pombe unavyowaharibu vijana kwa wazee mpaka wanawake wanafanya kuimport wanaume kutoka...
  6. R

    Historia ya Kabila la Wahaya

    Kuna mdau mmoja anasema kuwa tohara ndo maendeleo ya eneo ila nashangaa operation yote ya pangusa mkono wa sweta inazunguka nchi mzima! Mwingine anasema wadada kujiuza ndo kuna wakilisha watu kuwa masikini basi coffee shop zinazolipa kodi kabisa katika nchi za wa zisingekuwepo, anazungumzia...
  7. R

    Historia ya Kabila la Wahaya

    Generalization of Falla's
  8. R

    Maisha yangu mabaya sana nakaribia kujiua

    Sasa hiyo Mshana haina tatizo na mahusiono na Mungu?
  9. R

    Uliza swali lolote; Kuhusu wakandarasi Wa kichina na wakandarasi Wa kibongo Majibu utayapata hapahapa

    Kwetu hapa Tanzania hakuna mkandarasi mwenye performance bond ya 3/ 2 kwa ajiri maybe ya tender ya bitumen ya 50km ndo mana unaona barabara nyingi za high way wazawa hawafanyi kisa mtaji
  10. R

    Uliza swali lolote; Kuhusu wakandarasi Wa kichina na wakandarasi Wa kibongo Majibu utayapata hapahapa

    Ngoja nikusaidie katika hili. Wachina wana mtaji mkubwa kulinganisha na wazawa ,na kumbuka hizi kampuni za kichina zote asilimia kubwa zinamilikiwa na serikali ya China. Ndo mana hata tender documents zao zinakuwaga low price kuliko za wazawa. That's why wakiwini tender wanapeleka serikalini...
  11. R

    Ilikuwa ni lazima Masogange afe?

    Naam Mshana,ndo mana sometimes tunatakiwa tuangalie incident ila mara nyingi watu wanaangalia event and accident
  12. R

    Medulla katika kasha la kichwa chako... Ni sawa na chumba kinachohitaji mpangilio sahihi

    Brother huna budi kufungua kanisa,mafundisho yako yakiongezwa na neno la Mungu nadhani tutapona
Back
Top Bottom