Muda unaoruhusiwa kisheria kwa expert kuishi Tanzania

Nyangaramera

Member
Jan 19, 2017
59
43
Habari za mchana wana jamvi.Niende direct kwenye swali langu,naomba kujuzwa muda anaoruhusiwa kisheria kwa expert kuishi Tanzania pamoja na vigezo vya kuwa expert.

Asante
 
Huyo mtu haitwi Expert..bali huitwa Expatriate.. hivi ni vitu viwili tofauti kabisa ndg yangu.

Maana ya Expert hiii hapa: A person who is very knowledgeable about or skillful in a particular area.

Maana ya Expatriate ambayo nafikiri ndio unamaanisha ni hii hapa: A person who lives outside their native country.

Sasa sijui wewe ulitaka kujua kipi zaidi juu ya hoja yako?
 
Nadhani anatakiwa aishi kulingana na muda wa kibali chake kinavyoonyesha ingawa anaweza kurenew inapobidi mana inategemea na field iliyomleta!!
 
Huyo mtu haitwi Expert..bali huitwa Expatriate.. hivi ni vitu viwili tofauti kabisa ndg yangu.

Maana ya Expert hiii hapa: A person who is very knowledgeable about or skillful in a particular area.

Maana ya Expatriate ambayo nafikiri ndio unamaanisha ni hii hapa: A person who lives outside their native country.

Sasa sijui wewe ulitaka kujua kipi zaidi juu ya hoja yako?
Thanks mkuu kwa masahihisho.i meant expatriate
 
Huyo mtu haitwi Expert..bali huitwa Expatriate.. hivi ni vitu viwili tofauti kabisa ndg yangu.

Maana ya Expert hiii hapa: A person who is very knowledgeable about or skillful in a particular area.

Maana ya Expatriate ambayo nafikiri ndio unamaanisha ni hii hapa: A person who lives outside their native country.

Sasa sijui wewe ulitaka kujua kipi zaidi juu ya hoja yako?
Kuna jamaa alinipa story katika ofisi yao iko hivi: kuna jamaa wa nchi jirani aliletwa yapata six years ago kama mtaalam wa system wanayoitumia ofisini kwao kwakuwa hakuna mzawa kwa kipindi kile aliyekuwa anaweza kuitumia.uyo expatriate kitaaluma ana diploma ya laboratory technician.Ila kwa sasa wazawa pia wana uwezo mzuri wa kutumia hiyo system na jamaa bado yupo na amepanda cheo kama operation manager ilhali kuna wazawa wenye bachelor za lab technician.Je kisheria uyu mtu bado ni halali kuendelea kuwepo na ameshakaa 6yrs now?.Mwenye kujua zaidi atupe ufafanuzi wa hii scenario
 
Kuna wanaigeria na wakenya wana miaka kumi unashangaa wanapataje vibali vya kukaa nchini? Halafu wazawa wanazurura na vyeti mkononi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom