Recent content by Rolum

  1. R

    Umbali kati ya Misri na Israel ni KM 613, lakini wana wa Israel walisafiri kwa miaka 40

    Kumben Kumbe muuaji alafu anasema kuua dhambi. Je kusamehe anakotaka ss tufanye ni kupi wakati yy alishindwa kuwasamehe..?? Yote hayo yanaonesha kuwa yy naye hajakamilika
  2. R

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kona tuu.wape wachini wote. Galatasaray ov 3.5 Fulham ov 2.5 Porto ov 3.5 Midtyland ov 3.5 Roya union saint ov 3.5 PSG ov 3.5 Total odds 3.2 HELA BET MAGOLI YAMEKUA NGUMU😎😎😎
  3. R

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Betpawa ZF9O5AJ odds 3 Betpawa 4JNV9FX odds 2.80 GOODLUCK
  4. R

    Pamba United: Baada ya kupanda Ligi Kuu, wamepiga chini wachezaji wote

    Club ipi ulaya imewahi Kuacha wachezaji wote baada yakupanda ligi kuu???
  5. R

    Pamba United: Baada ya kupanda Ligi Kuu, wamepiga chini wachezaji wote

    Haiwezekani timu nzima mikataba yawachezaji iishe msimu moja.swali ni moja,,je wasingepanda wangesema kuwa mikataba imesha muda wake..it's a shame.
  6. R

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    England katuangusha.hope tuta recover loss yake Leo💪
  7. R

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Slovenia vs Denmark ov 1.5 goals ft odds 1.41 England ov 1.5 goals yy odds 1.52 Single bet.stake high GOOD LUCK PUNTEES
  8. R

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Ana 6 saivi
  9. R

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Ana 6 recorder holder na modric,Kross na cavajal.2014,2016,2017,2018,2021,2024
  10. R

    Natafuta mganga wa kienyeji konki

    Nichek pm km uko serious.
  11. R

    Natafuta mganga wa kienyeji konki

    Wateja watamiminika wakati Hana kitu.kabaki mtupu.mpe ramani apate mtaji
  12. R

    Biashara ndo zinachangamoto hivi aisee? Msaada tafadhari

    Mam Mambo ya kichawi maliza kichawi,ya dini maliza kidini.zindika drawer yako yahela.utapigwa sana
  13. R

    Biashara ndo zinachangamoto hivi aisee? Msaada tafadhari

    A Amtangulize mungu tena wakati mwenye chuma ulete naye anamtanguliza mungu.hii dunia tutazikwa tumechoka kwakweli.maombi yalitiki kwa mwenye chuma ulete.😴😴😴
  14. R

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Huyu arder guler ni talent
Back
Top Bottom