Recent content by Rolando

 1. R

  Hali imekuwa Tight. Jana NLIGOMA Kabisa Kutapika.Nina ombi kwa Serikali

  Hahahhaa mkuu mchuzi wa matunda pengine ndo umeleta kashkash
 2. R

  WAKUU MSAADA LAPTOP YANGU IMEINGIA MAJI, SCREEN INACHEZA CHEZA REMEDY NI NINI?

  Asante mkuu, ila kwa sasa sipo Moshi. Sent using Jamii Forums mobile app
 3. R

  WAKUU MSAADA LAPTOP YANGU IMEINGIA MAJI, SCREEN INACHEZA CHEZA REMEDY NI NINI?

  Wataalam laptop yangu imeingia maji kwa bahati mbaya, sasa screen inacheza sana kama imetengeneza mawimbi hivi japokuwa ina function vizuri. Hapo suluhu ni nini? Sent using Jamii Forums mobile app
 4. R

  Aliyekuwa mgombea wa CHADEMA Bariadi Mashariki agombea Urais wa TLS

  Wanamsumbua Dr Lugemeleza, wanajua ndo Raisi ajaye wa wanasheria. Sent using Jamii Forums mobile app
 5. R

  Couse gan nikasome chuo mm niliyesoma HKL??

  Improve brother. Then go choose a course of your interest because non guarantees employement. Sent using Jamii Forums mobile app
 6. R

  Couse gan nikasome chuo mm niliyesoma HKL??

  Hisia tu hizo mdogo wangu. Hujaandika ujumbe wowote ambao hauna makosa, hata huu nao quote hapa una makosa. Sent using Jamii Forums mobile app
 7. R

  Couse gan nikasome chuo mm niliyesoma HKL??

  Nimeshtushwa na makosa unayoyafanya kwenye uandishi ambayo nayategemea kwa watu ambao hawajasoma Sent using Jamii Forums mobile app
 8. R

  Couse gan nikasome chuo mm niliyesoma HKL??

  Umesomaje HKL alafu unaandika ushauli!! Sent using Jamii Forums mobile app
 9. R

  Natafuta mwanaume H.I.V Positive mrejesho

  Wewe ni mtu maalum sana. Mungu akujaalie hitaji la moyo wako. You have my prayers dada Sent using Jamii Forums mobile app
 10. R

  Tuliowahi ku disco chuo tukutane hapa tushee historia zetu

  Story nzuri msomi, ila una shida ya L na R Sent using Jamii Forums mobile app
 11. R

  Tuliowahi ku disco chuo tukutane hapa tushee historia zetu

  Story nzuri msomi, ila una shida ya L na R Sent using Jamii Forums mobile app
 12. R

  Sakata la Joshua Nassari: Mtazamo wangu

  Nakubaliana na wewe kwamba namna Mhe. Nassari alivyoomba ruhusa ina walakini (kwa maelezo yake Nassari mwenyewe). Lakini kama akipeleka hili shauri mahakamani kama anavyosema uamuzi wa Mh spika uko bound kupinduliwa for one strong reason. There was procedural impropriety kwa kumnyima Nassari...
 13. R

  Lissu aanza kuchangiwa fedha na wananchi!

  Asante kwa kunikumbusha, ngoja nikachangie. Wewe endelea na majukumu yako ya ku Praise na ku Worship Sent using Jamii Forums mobile app
 14. R

  CCM jiandaeni na mpambano mkali uchaguzi ujao, Lissu sio wa kufanya kampeni za kupiga push up

  Hatakimbia maswali, atakimbia mdahalo kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
Top Bottom