Recent content by Rohosaba

  1. R

    JamiiForums Tanzania Rais Ibrahim Traore wa Burkina Faso alikaa Jukwaa kuu na bunduki yake wakati wa uapisho wa Rais mpya wa Ghana

    Huyu wa hapa kwetu anatembea bila bastola kiunoni, tuambie kuna nini cha ajabu ikiwa Vyoo pia kwa msaada wa watu wa Marekani, Captain kanyaga wezi
  2. R

    JamiiForums Tanzania Soseji zapigwa marufuku nchini Korea Kaskazini!

    Unaweza kuchukua kwa nchi rafiki, sio kuchukua kwa nchi adui
  3. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Picha: Nape Nnauye atua mtaani akiwa na nguo za kiraia huku akila ubwabwa na wananchi

    Sasa utumishi wake una saidia nini kutatua kero za wananchi?
  4. R

    JamiiForums Tanzania Dudubaya: Lissu hawezi kuwa Mwenyekiti CHADEMA

    Abdul hana nafasi yeyote kwenye Chama wala kwenye serikali ila ni mtu muhimu kwenye kupenyeza agenda,unataka waandishi wamuhoji nini wakati Wenje amesha kiri kukutana nae?
  5. R

    JamiiForums Tanzania Dudubaya: Lissu hawezi kuwa Mwenyekiti CHADEMA

    Endelea kujificha kwenye kura, utaelewa muda sio mrefu kuwa Lissu ni nguvu ya watu
  6. R

    JamiiForums Tanzania Dudubaya: Lissu hawezi kuwa Mwenyekiti CHADEMA

    Muda wa Ayatollah Mbowe kukaa benchi umefika
  7. R

    JamiiForums Tanzania Dudubaya: Lissu hawezi kuwa Mwenyekiti CHADEMA

    Kweli kabisa hii takataka Dudu baya ni wakufunguliwa nyuzi za jambo muhimu kama hili?
  8. R

    JamiiForums Tanzania Lissu anavimbishwa mno Kichwa na Keybord Worrior

    Sheria gani wakati watu wanapokea tu pesa za Abdul kimya kimya na kuweka kwenye account zao ili wakishike chama mateka , Chama hakiwezi kujiendesha mpaka pesa itoke mfukoni kwa Mbowe, wacha Lissu akaondoe haya mambo ya hovyo kwenye chama
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kuna tetesi Dunia inafikia ukomo, Masiha anarudi?

    Kwahiyo anaanzia US?
  10. R

    JamiiForums Tanzania Lissu anavimbishwa mno Kichwa na Keybord Worrior

    Mbowe ni ccm B hawana cha kupoteza , ila Lissu ni habari nyingine
  11. R

    JamiiForums Tanzania Lissu anavimbishwa mno Kichwa na Keybord Worrior

    Chama hakina pesa, pesa yote iko kwa Mbowe , Lissu anataka pesa ya Chama irudi chamani, sio jambo la chama ukampigie Mbowe magoti atoe pesa ya Chama kwenye account yake, huku ni kushika chama mateka
  12. R

    JamiiForums Tanzania Lissu anavimbishwa mno Kichwa na Keybord Worrior

    Zitto alikuwa dhaifu, tunataka Lissu awe mwenyekiti maana ni mtu wa kazi ,anae ua chama ni yule anaekumbatia kiti kwa zaidi ya miaka 15 akila pesa ya chama kwa account yake binafsi
  13. R

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CHADEMA anaongea na wanahabari

    Lissu kanyaga twende
Back
Top Bottom