Recent content by Rogers Ommy

  1. Rogers Ommy

    NAUZA SNEAKERS ZA MTUMBA

    Kwa mahitaji ya sneakers za mtumba size 40,39,38,37,36. Zinapatikana karibuni sana.
  2. Rogers Ommy

    Nimejisikia uchungu mkubwa, sababu nafahamu historia ya Mradi wa Hospitali ya Mama na Mtoto Arusha

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Umenichekesha hako kaswali chako
  3. Rogers Ommy

    Ushauri wa Zitto kwa Lema na RC Gambo

    Watu tulio nje ya mkoa wa Arusha ni sahihi tusingeona jinsi Mh Lema alivyopuuzwa. Ila wale waliondani ya mkoa, ambao wamemchagua Mh Lema wanajua ukweli upo wapi. Malengo ni mawili. 1. Hospitali ijengwe ndio lengo kuu 2. Kuondoa sitomfahamu kwa wadhamini wetu. NB. Lakini kilichotokea nadhani hata...
  4. Rogers Ommy

    Nimejisikia uchungu mkubwa, sababu nafahamu historia ya Mradi wa Hospitali ya Mama na Mtoto Arusha

    Ni sawa na ana haki ya kuhamaki lakini hivi hatuoni kuwa ni busara kumuheshimu mkuu wako wa mkoa maana yeye ndo kiongozi mkubwa mkoani?. Pili, una kila kithibitisho kuhusu hilo suala ya kwamba umehusika kulifuatilia tokea hatua za awali, kwanini mtu asiyejua mwanzo wa jambo akusumbue kichwa.
  5. Rogers Ommy

    Nimejisikia uchungu mkubwa, sababu nafahamu historia ya Mradi wa Hospitali ya Mama na Mtoto Arusha

    Asante kwa taarifa. Japo mimi niliona.Mh Lema angetulia na kutumia nafasi yake binafsi kuwaeleza wananchi katika kile alichokiongea RC
  6. Rogers Ommy

    Business, kwa mahitaji ya T.shirt zinapatikana

    Kwa mahitaji ya Tshirts zinapatikana. Mawasiliano 0712204638
  7. Rogers Ommy

    Tatua tatizo la uume mdogo

    Labda wameshapata mguu wa tatu[emoji3][emoji3][emoji3]
  8. Rogers Ommy

    Hili la Arusha linahitaji mjadala mpana, ukisoma barua ya wafadhili utajifunza mengi

    Namimi nisemepo. Lema alikosea sana, kama video inavyoonyesha jinsi akilalama " mimi nimetafuta wahisani" kumbe lengo lake ni atajwe katika watu ambao wangepaswa kupewa shukrani. Hekima ya pale ilimbidi atulie, maana hata wawekezaji walimshamngaa kwa kauli zake wakati Mkuu wa mkoa anaendelea...
  9. Rogers Ommy

    Zoezi la uhakiki wa vyeti liende sambamba na uhakiki wa majina bamdia

    <br />Thanks Mwigulu kwa ufafanuzi murua .umefanya vizuri kujibu wewe binafsi na simple umeeleweka .kuliko ungewaachia hawa pasua vichwa Lumumba bk 7 wajibu ilihali awajui chochote wamejawa na lugha chafu zisizo na ushawishi sana sana kuzidisha maswali kuliko majibu .again Asante Mh Mwigulu...
  10. Rogers Ommy

    Hospitali ya mbunge Godbless Lema Arusha utata, mmiliki wake hajulikani kisheria

    HOSPITAL YA MBUNGE GODBLESS LEMA[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]........Back to the floor eti " mmiliki hajulikani".... Kiswahili hiki.
  11. Rogers Ommy

    BAWACHA Arusha, wasikitishwa na Mkuu wa Mkoa kwenye Uzinduzi wa Hospitali

    Daaa aisee ni shida sana, ilikuona aliingiza siasa na kama inavyojulikana Gambo ameteuliwa na Rais na ni mtu wa CCM na Lema ni mtu wa upinzani. Kauli ipi imeonyesha Gambo aliweka Siasa pale??.
  12. Rogers Ommy

    BAWACHA Arusha, wasikitishwa na Mkuu wa Mkoa kwenye Uzinduzi wa Hospitali

    Kwa hiyo alikuwa anataka atajwe ili apate KIKI....yaani kutajwa tu ndo kumfanye aropoke maneno yote yale....chadema bhana
Back
Top Bottom