Ibara ya 12 mpk 29 imeweka wazi juu ya swala la haki za binadam na za msingi kwa ivo basi chombo chochote iwe ni private ama public kinapaswa kuheshim na kulinda haki izo za msingi... Teku wamevurunda hapo honestly!
Sidhan kama kuna utata, kwasababu nchi yoyote ina wajibu wa kumlinda na kumtetea raia wake.. Kwa iyo basi ni vema vyombo vya kuamua hatima ya kosa alilofanya mshitakiwa akiwa kwao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.