Recent content by ROGATH MCHAU

  1. ROGATH MCHAU

    JamiiForums Tanzania Kwanini kampeni ya kutumia nishati safi viongozi wa serikali wanagawa mitungi ya Taifa Gas tu ambayo ni Rostam Aziz?

    NACHOKIELEWA NI KAMPUNI YA GESI YENYEWE NDIO INATOA OFA KUWAPA SEREKALI MITUNGI BURE WAGAWE KWA JAMII, NA LENGO KUBWA PIA NI KUTAFUTA WATEJA WAPYA PIA MAANA UKIMALIZA GESI LAZIMA UTAJAZA KWA KAMPUNI YENYE MTUNGI HUO HUO.
  2. ROGATH MCHAU

    JamiiForums Tanzania Today I visited Ngorongoro Crater: Ni pazuri kinoma

    MKUU UKIONDOA TU CHUI, WANYAMA WENGINE WOTE KATIKA BIG FIVE UNA UHAKIKA WA KUWAONA PALE NGORONGORO. KWASABABU NGORONGORO NAKO NI KAMA ZOO TU WANYAMA HAWAONDOKI KULE CHINI NA WOTE UNAWAONA KWA UKARIBU TUU NA UNAENJOY VYA KUTOSHA TOFAUTI NA ZOO.
  3. ROGATH MCHAU

    JamiiForums Tanzania Polisi jamii auliwa baada ya kuchapwa viboko 70!

    WANAKUKAMATA KISHA WANAKUFUNGA MIKONO NA MIGUU NDIO WANAANZA KUKUCHAPA, YANI WANAHAKIKISHA HAUWEZI KUJIGUSA.
  4. ROGATH MCHAU

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, tusifukie Mahindi na Maharage ya Marekani, naomba tuyapeleke Haiti

    SASA BROTHER, MBONA MSAADA WA ARV HAMUUKATAI? AU MNAFIKIRI WANASHINDWA KUWEKA HIVYO VIRUTUBISHO MNAVYOVIHOFIA HUKO?
  5. ROGATH MCHAU

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TFF na TAKUKURU Washughulikie Malalamiko ya Simba

    KWAHIYO HATA BELOUZDAD NAO WALIHONGWA NA GSM SIO? KAMA TIMU INA UWEZO IPENI MAUA YAKE, ACHENI KUJIFARIJI KISHAMBA.
  6. ROGATH MCHAU

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Camera ya simu gani naweza kuitumia kutengenezea filamu na vipindi vya YouTube

    HIYO I PHONE 13 KWA UPANDE WA PICHA NA VIDEO HAIFIKII KIWANGO HATA CHA SAMSUNG S 22 ULTRA.
  7. ROGATH MCHAU

    JamiiForums Tanzania Wakristo wanatoa sana kwa wachungaji kuzidi kwa wahitaji, Waislamu wanatoa sana kwa wahitaji kuzidi kwa mashehe

    KWENYE KILA TAASISI YA DINI NAAMINI ILIANZISHWA KWA NIA NJEMA ILA KATIKA KILA JEMA LAZIMA KUNA WAHUNI WATAINGIA. MFANO KUNA SIKU TULIPELEKA MZIGO PALE KANISA KUU KATOLIKI MOSHI YANI KRISTO MFALME, WAKATI TUNASHUSHA MZIGO TUKAOMBA MAJI YA KUNYWA KWA PADRI, TUKAONESHWA BOMBA MBELE YETU TUKANYWE...
  8. ROGATH MCHAU

    JamiiForums Tanzania Ally Dangote auawa jijini Arusha

    YAANI KAKIJANA KA MIAKA 19 KANATETEMESHA JIJI ZIMA LA UTALII KWA SILAHA YA KISU TUU, BASI KANGEJIITA HATA KOMANDO KIPENSI KULIKO KUCHAFUA JINA KUBWA HIVYO LA DANGOTE. ILA JAMII INAJUAGA KABISA VIJANA WAHALIFU WA MTAA NDIO SABABU WAKIWACHOKA WANATOA HUKUMU ZAO ZA MTAANI.
  9. ROGATH MCHAU

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pole nyie ambao wake zenu wanafanya kazi!

    YANI WAMAMA WA NYUMBANI NDIO WANALIWA KIZEMBE ZAIDI, KAMA HAUAMINI WAULIZE WAUZA MABUCHA, WAUZA UREMBO NA VIJANA WANAOPAKA KUCHA RANGI.
  10. ROGATH MCHAU

    JamiiForums Tanzania Watu wanaoishi kwa kuwinda na kukusanya kama Wahdzabe wana afya kuliko wakulima, wafugaji na watu wengine

    BINAFSI NAONA WAHADZABE WANAISHI MAISHA YA MATESO SANA. KWANZA KULA KWAO KWA TABU WANYAMA WENYEWE WANAOWATEGEMEA SIKU HIZI WAMEPUNGUA NA HAWAWEZI KUPATIKANA KWA URAHISI KAMA ZAMANI. FIKIRIA KIPINDI CHA MVUA KAMA HICHI WANAISHI VIPI? NA HAWANA AKIBA YA CHAKULA, YANI HAO WANAISHI KAMA NDEGE TU...
  11. ROGATH MCHAU

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnaanzisha vipi maongezi na pisi kali inayopita zake tu?

    MBINU HIYO HAIFAI INAWEZA IKAKULETEA MATATIZO AKIFIKIRI NI ZILE MBINU ZA VIBAKA WA ZAMANI WALIOKUA WANADONDOSHA PESA MAKUSUDI ILI UKIIOKOTA WAKUKABE NA KUKUIBIA. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  12. ROGATH MCHAU

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnawezaje kuwa na mahusiano na wanawake wasioomba hela kabisa

    HII NI CHAI HII, YANI UMPE PESA MWANAMKE WA KARNE HII AKATAE? SIDHANI KAMA WANAWAKE HAO WANAPATIKANA KWA MIAKA HII.
  13. ROGATH MCHAU

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukioa mwanamke wa kichaga unaheshimika sana mtaani

    HIYO ULIYOSEMA WANAWAKE WA MARANGU WANA HESHIMA KWENYE NDOA EBU RUDIA KUFANYA UTAFITI VIZURI, MAANA WACHAGA TULIOPO MOSHI SEHEMU AMBAYO TUNAJUA MWANAUME UKIOA HAUTAKUA NA SAUTI NI MARANGU. KAMA WEWE ULIOA HUKO UKABAHATIKA KUMPATA MWENYE HESHIMA KWENYE NDOA BASI MSHUKURU SANA MUNGU. BORA HATA...
  14. ROGATH MCHAU

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukioa mwanamke wa kichaga unaheshimika sana mtaani

    UNAJUA SIKU HIZI MTU AKIMCHUKIA TU MTU FLANI KISA AMEONA LABDA ANAJIPENDA KWA KUVAA VIZURI AU ANA SURA NZURI PENGINE KASIFIWA NA DEMU WAKE AU KAMGONGEA DEMU WAKE BASI, JAMAA ANAANZA KUMTAFUTIA KASHFA KWAMBA NI SHOGA. UKIFUATILIA VIZURI HIZI LIST AU MAJINA YA MASHOGA ASILIMIA KUBWA UTAKUTA TU NI...
  15. ROGATH MCHAU

    JamiiForums Tanzania Hiki wanachokifanya Tigo ni kero kwa wateja

    KWA MIMI BINAFSI IMESHANITOKEA SANA HIYO NA HAWAKUPI NAFASI YA KUTOA PESA BILA KUBADILISHA HIYO NAMBA YA SIRI.
Back
Top Bottom