We are happy to inform all people that, now ROFACOL TANZANIA has launched its new product called TILAPIINE ANTI-PROLIFIC which prevents the Tilapia species from breeding on the fish pond. This additive has also been supplemented with various refinements in which it can stimulate fish to grow...
ACACIA MINING PLC - Management Changes
Released : 02 Nov 2017 07:00:00
2 November 2017
THIS ANNOUNCEMENT CONTAINS INSIDE INFORMATION
Acacia Mining plc
(“Acacia” or the “Company” or the “Group”)
Management Changes
Acacia would like to advise the market that Brad Gordon, Chief Executive...
Kitendo tuu cha kumalizia kuwa ni Mimi mbunge wa chama cha mapinduzi, inadhihirisha dhahiri kuwa bado unamuogopa na wewe, huna ujasiri wa kuhamasisha wenzako. Taja jina
Mi mwenyewe sijaelewa ulikuwa unataka kuelezea nini katika hadithi yako ambayo, kimsingi kama ilitaka kuenda mahali Fulani hivi, sema ikaishia hewani, sasa sijui kabla hujamalizia sentensi uliibiwa simu sijui
ROmanus FAdhali COsmass Lengu(ROFACOL)
Jeshi la Polisi limewazuia Wafanyabiashara wa Soko la SIDO wasijenge upya vibanda na maduka yao yalivyoteketea kwa moto
Wafanyabiashara wa soko jipya lililoungua, wadai kuwa serikali ndiyo iliyounguza soko lao ili wahamie katika soko jipya lililojengwa na serikali la mwanjelwa,
Pia...
Mida hii ya sasa saa 3:51 usiku huu soko la sido(KABWE) mbeya vibanda vyake vinateketea kwa moto, chanzo cha moto bado hakijajulikana
ROmanus FAdhali COsmass Lengu(ROFACOL)
Lazima ukimbie maana unakuta hakuna anayekuja kukutetea mahakamani sasa walokutuma wameyeya kwanini kama umesamehewa na wewe usiyeye
ROmanus FAdhali COsmass Lengu(ROFACOL)
Jaman tumesha ambiwa na mkuu, kama tumeshindwa basi tutachimba wenyewe au tutaacha hadi tutakapopata akili ya kuchimba msipende kutulazimisha, kwani mbona wachimbaji wapo wengi sana kuwazidi hata hao barrick jamani
ROmanus FAdhali COsmass Lengu(ROFACOL)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.