Kwan ww ukijikita kwenye uzalishaji nani kakukataza ww ni fala nn
Acha kupangia watu maisha ww kama unaweza kuzalisha bas zalisha wauzie hao wanao kaa na kujadiri maisha ya watu
Kwanza mfanya biashara mwenye akili hutumia fulsa sasa kama ww unaona wenzako wamelala ww amka na utumie iyo fulsa...
Wacha maelezo mengi alie tufikisha huku ni magufuli mzee wa chato yule fala
Maana ata kipind cha mkapa au JK katiba ilikua ni hii hii na maisha yalienda ila baada ya magufuri kuingia ndo chanzo cha mattzo meng kuanza
Katiba ilikua mbaya ila viongozi walikua na uwoga na aibu na hawakutaka...
Ameshindwa kupigania katiba mpya akiwa ndani ya system matokeo yake ndo hayo
Afu si nlikuaga naskia nchimbi alikua msoja tena vyeo vya juu wengne wakaenda mbali na kusema nchimbi alikua kachelo wa serikal sasa inakuaje anaweka house arrest unataka sema alikua hana watu wa kumpigania
Mnataka...
Wako sawa maana kuzaa mtoto mweupe sio lazma baba awe mweupe
Ushauri wangu watafute wanaume weusi ambao wazazi wao ni weupe hii itachangia sana na wao kuzaa watoto weupe
Ndo shida ya kuajiri watu kwa connection na mishahara
Uyo ni mwanajeshi au ndo wale wanaofata mishahara mizuri kisa mjomba au baba ni mwanajeshi
Angekufa raia ningeumia na ninge sapoti posti yako ila kwakua ni mwanajeshi bas nasema iv malipo ni hapa hapa dunian
Akuna elimu mbaya wala kozi mbaya cha msingi ni matokeo bora na kujenga connection na watu
Tz kozi zote bado ni deal cha msingi ni kutafuta mahusiano mazuri na watu kaz zipo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.