Kwani duniani.kote anayeweza kujenga refinery ni Dangote peke yake?
Tulishakuwa na refinery yetu ya Tipper ingawa uwezo wake kwa sasa utakuwa ni mdogo kama tuliweza kipindi kile kwanini tushindwe sasa?
Ni rahisi sana kwa yanga kufanya hujuma kwa simba sababu hatuna viongozi, kuna picha imepigwa kambi ya Taifa stars injinia anaongea na Morice Abraham haieleweki alifata nini kambini.
Mpige kura msipige ccm kwa kauli hii unategemea vyama shindani vishinde?
October 29 kulikuwa hakuna uchaguzi lakini mtu akatangazwa kashinda asilimia 97 .
Huyu ni mhariri wa gazeti la jamhuri, mwandishi mwenzake Manyerer Jackson alimhoji Warioba kuhusiana na matukio ya Octoba 29 lakini hii habari ilizuiwa na serikali.
Yeye kama mwenyekiti wa jukwaa la wahariri hakutoa tamko lolote.
Halafu hicho cheo ni kama cha kudumu ni ushamba unaomhangaisha.
Hii sheria ya mambo ya pesa walileta kudhoofisha vilabu vya Italy na Hispania, angalia anguko la Barcelona na Ac Milan ambqzo zilikuwa zinatamba ulaya.
Tuhuma za Psg na Man City ni za muda mrefu mpaka sasa bado maamuzi hayajatoka
Kuna sehemu za mpakani kuna wahamiaji wengi haramu, wakati nafanya kazi kwa wakimbizi Kigoma tulikuwa na staff mwenzetu lakini kaka yake tumbo moja alikuwa mkimbizi pia wengine walikuwa na undugu na mbunge wa wakati huo kama sikosei Manju Msambya kwa hiyo lazima wawr makini.
Dudu baya anachofanya ni promotion ya ushoga, njia sahihi ya kupambana na mashoga ni kuweka sheria kali kwa wote wanaofanya promotion ya ushoga hii itazuia watu wote kusambaza habari zao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.