Recent content by rodreven

  1. rodreven

    Nahitaji Satellite dish

    Nilikuwa nimenunua receiver ya DVB hizi zinazopokea FTA channels na pia tyar nina hizi digital decoder za kulipia. Ila wazo langu nilikuwa nafikiria tu niwe na dish ambalo mtu akiona atajua tu hili dish sio la azam au dstv. Ila kwa sasa naona ninunue tu hilohilo kama ulivyoelekeza mkuu yani...
  2. rodreven

    Nahitaji Satellite dish

    Anhaa nashukuru kwa ushauri ngoja nilifanyie kazi hili wazo.
  3. rodreven

    Oppo Smartphones

    Punguza hasira mkuu. [emoji28]
  4. rodreven

    Nahitaji Satellite dish

    Haha dukani mengi ni azam na dstv [emoji38]
  5. rodreven

    Nahitaji Satellite dish

    Ninahitaji satellite dish ila liwe na brand name tofauti na DSTV, AZAM, ZUKU AU STAR TIMES. Yani nahitaji liwe la matumizi ya zile FTA Channels. Kama mtu analo jipya au lililotumika ila lipo katika muonekano mzuri basi anitafute.
  6. rodreven

    Oppo Smartphones

    Nina simu za oppo nauza kwa bei ya kawaida. Oppo Reno 6 5G Pro (128GB) = Tsh. 520,000/= Oppo A31 (128GB) = Tsh. 250,000/= Oppo A91 (128GB) = Tsh. 360,000/= Oppo A53 (128GB) = Tsh. 260,000/= Nicheq namba 0715581378
  7. rodreven

    Mke wangu ameondoka kimazingara, naombeni ushauri

    Hili swala la mahali kwa ndoa za siku hizi ni bora lisiwepo kabisa. Kwa maan hata ndoa zimekosa ile heshima yake.
  8. rodreven

    Mke wangu ameondoka kimazingara, naombeni ushauri

    Kanisa gani hiloo tuje wengine kuchukua mke,, [emoji28]
  9. rodreven

    Fundi wa pump za Petrol Station

    Sio yeye tu ni nature ya wahindi wote. Wanajipenda wenyewe.
  10. rodreven

    Fundi wa pump za Petrol Station

    Wasiwasi wangu pia mafundi wengi huwa hawapendi kuajiriwa kwa sababu posho za kila muda zinaondoka inabaki ile hela ya mwisho wa mwezi tu. Sasa, cha kuangalia ni yeye kama atapenda na kuafikiana salary anaweza kutusaidia kwa muda. Ukimpata nijulishe pia na namba yake ili niweze kumuunganisha.
  11. rodreven

    Fundi wa pump za Petrol Station

    Tangazo lipo hivyo kwa sababu wanataka mimi niwapelekee mtu tu ila swala la huyo mtu kuapply linajulikana ila hawataki hizo complications za kuanza kusort CV za watu.
  12. rodreven

    Fundi wa pump za Petrol Station

    Habari wana Jukwaa hili. Kampuni ya STAR OIL inahitaji mtu ambaye ni mjuzi wa kutengeneza pump za petrol station. Ambaye itamwajiri moja kwa moja. Kazi yake kubwa itakuwa ni kutatua changamoto zote za pump katika vituo vya mafuta vya STAR OIL. Na anatakiwa awe huru kusafiri sehemu yoyote hapa...
  13. rodreven

    Mwanamke kaniambia gharama ya ufupi wangu ni bia 6!

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nacheka kama mazuri. Hii dunia ina mambo.
Back
Top Bottom