Recent content by rodgers kassiki

  1. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji pikipiki

    Jamani sh 1000000 nahitaji pikipiki used!
  2. R

    JamiiForums Tanzania Hongera Joshua Nassari sasa ni usingizi bila chupi

    Jina la uzi huu halijaa kaa vizuri kabisa
  3. R

    JamiiForums Tanzania Sifa za kupata mkopo

    Sawa Mkuu!
  4. R

    JamiiForums Tanzania CHAMPIONS LEAGUE FINAL: REAL MADRID vs ATLETICO MADRID 24:05:2014

    Atletico lazima wakae!
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kujisajili na bodi ya mikopo

    Tusubiri Mpaka labda week ijayo tuone itakuwaje
  6. R

    JamiiForums Tanzania Sifa za kupata mkopo

    Kwa heshim , wana jukwaa wa jf ,hivi kama umemaliza Form six miaka minne iliyopita na sasa umeapply chuo Kwa zile Course ambazo ni priority kama engineer, education je Unaweza! kupewa mkopo na bord?Naomba Mwenye uelewa na hili jamaan atufafanulie
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kujisajili na bodi ya mikopo

    Jamani naombeni mnijulishe Kwa Mwenye uelewa nime lipia bodi ya mikopo ya elimu ya ju sh.30000 Kwa mpesa, wamenitumia sms kwamba pesa imesha lipwa lakini Kila niki login inakataa nashindwa kujaza Form za mkopo kabisa system inasema' your credentials you entered do not match with that of the...
  8. R

    JamiiForums Tanzania TBC mjifunze kwa KBC

    Point Mkuu, sijui hawathamin kabisa kiu ya watanzania kutaka kufatilia tim yetu wananikera hawajui tu!!!!
  9. R

    JamiiForums Tanzania Form 4 2008, form 6 2011. Bado nina sifa ya kusoma chuo??...,

    Usikate tamaa mtu wangu elin haina mwisho kaza buti!
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kidato cha sita kuripoti vyuoni mwezi wa kwanza 2015

    Ambaye anataarifa za kutosha atupe Tafadhali
  11. R

    JamiiForums Tanzania Maisha plus

    Wadau mna maoni kuhusu hiki kipindi cha tv show cha Maisha plus chini ya mkali Masoud wa kipanya ?
  12. R

    JamiiForums Tanzania Atletico Madrid na fainali mbili

    Anakosa yote kwani baca na real hawatamwacha , ila msijenge chuki ni itani tu ila hamwezi amin game mbili kali sana yeyote anaweza lia!
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini walimu wa diploma wasipewe mikopo

    Sawa Nimekuelewa
  14. R

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Msimu ujao tujipange tufanye usajili wa nguvu tulisogeze kombe la uefa darajani au wadau mwasemaje?
Back
Top Bottom