Mbona hii ni kodi ya siku nyingi sana mkuu , tangu enzi za Al Hassan Mwinyi na inalipwa Halmashauri/Manispaa
Hadi 30th June 2025 ilikuwa 0.3% ya Net Sales za kila mwezi - lakini malipo yanafanyika miezi mitatu mitatu.
kuanzia tarehe 1st July 2025 imeshushwa kidogo kwasasa inalipwa 0.25% ya Net Sales
Bahati mbaya likitokea la kutokea akafikwa na mauti utampeleka wapi ?
Utaingiaje mji wa watu ukiwa na jeneza na hakuna anayekutambua ? Utatambulishwa kama mume? Hawara ama nani ?
Kosa la huyo mama ni kutamka hayo maneno hadharani, lakini wazazi wengi sana wanaongelea moyoni wanapofikwa na msiba wa wa aliyekuwa anawajulia hali. Hukumbuki na yule waziri wetu moja alizungumza hadharani kule Bukoba kuwa kwenye chaguzi wao ndiyo huamua mshindi na siyo kura zilizopigwa...
Mimi natumia dawa za High Blood Pressure ni mwaka wa 26 sasa, mwambie muda si mrefu figo zake zita compromise, na itabidi aanza kufanyiwa dialysis , hatari nyingine ni kupata stroke ambayo inaweza mletea ulemavu wa kudumu ama kifo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.