Recent content by Rodelite

  1. R

    Arusha: Mtekaji wa watoto afariki dunia kwa kupigwa risasi wakati akijaribu kutoroka

    Alitakiwa ateswe ili awataje wenzake. Kumuua kumeharibu upelelezi.
  2. R

    Maxence Melo: Neno la shukrani kwa wote

    Tuko pamoja mkuu.
  3. R

    TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

    May God Rest Dena's soul In eternal Peace, Amen.
  4. R

    Proud to be Tanzanian. Shame on you ....!

    Speaking on grammar...you can't criticize the writer..as in your response...you didn't start with a capital letter, "coz" is not correct grammar. After a full stop, the sentence begins with a capital letter. "And" doesn't begin a sentence. "Christ's" sake has an apostrophe...look at yours... and...
  5. R

    An article from January Makamba on the Obama visit to Africa

    Its a well written article, but quite Useless at the moment.
  6. R

    Picha: Huyu ndiye mtanzania aliyeuwawa na vibaka juzi alhamisi nchini Marekani!

    Inasikitisha, Mungu ampumzishe mahali pema. Amin.
  7. R

    Polisi wamtaka Mbowe athibitishe Polisi walivyohusika katika mauwaji ya Arusha, la sivyo...

    Mie naona hawa polisi wana kisasi na CDM au wamelipwa waizime CDM....lakini sio rahisi.... wananchi nao wamechoka na viongozi wa serikali ya sasa wasio na uwezo wa kufikiri juu ya mambo muhimu ya Taifa. Viongozi wamejawa na akili za "tukale wapi.... na ufisadi tele.
  8. R

    Kutoka CHADEMA: Updates juu ya msiba wa Mheshimiwa Regia Estelatus Mtema

    Rest In Peace dada Regia. Mungu aipumzishe roho yake mahali pema peponi. Amina.
  9. R

    Unyumba....

    Naomba kuuliza waungwana....Hivi katika Ndoa...Mke akimnyima mumewe Unyumba kwa "zaidi ya mwaka"...yaani hawajakutana kimwili...(miezi 15 sasa) .. Hiyo ndoa bado ipo kweli...? Hakuna ugonjwa wala nini...ni Mke amemkasirikia mumewe tu .. na mume wala hajafumaniwa, na wala hajaenda nje...
  10. R

    Kenyan PM Raila Odinga Blames AU for Africa's woes.

    Mr. Odinga is Right. The "AU" has been quiet in many issues concerning Africans. It looks funny seeing "NATO" as the body trying to intervene in Libya. First of all, they "NATO" don't have the History and feeling of that country, and further more, don't know their leader other than "Dictator...
  11. R

    Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

    Kuna safari moja miaka kadhaa..(somewhere in 2007 au 2008) kama sikosei...alipewa mwaliko kwenda Boston Mass, kuzungumzia jinsi waTanzania wanavyoishi kwa amani..pamoja na kuwa na dini mbili kubwa (Waislamu na Wakristu)...Lakini ungeuona huo msafara aliofuatana nao......
  12. R

    Sanbic Bank begins to trade in Chinese currency

    Starting to make China a Super Power... I'm not crazy about the idea...just because the Chinese are a selfish people. If they bfriend you...there's something they want from you...to Exploit.
  13. R

    Ring or no ring...

    Mkuu hiyo investigation nilishaifanya..na vitu nilivyokuta viliniumiza sana kiasi ambacho mpaka sasa nikivifikiria huwa naumia na kuwaza sana. However, nilivi-forward kwenye simu yangu kabla sijam-comfront..na alikataa at first..akakubali vingine...Vingine amekataa kabisa mpaka leo..lakini hajui...
  14. R

    Ring or no ring...

    Huku watanifunga jela nikifanya hivyo...infact...wataniweka "under the Jail" kama itawezekana.... :)
Back
Top Bottom