Na tuweni wakweli? Katika wagombea URAIS bila kuangalia chama..ukiambiwa pigia kura "UADILIFU, HAKI na UZALENDO nani anastahili??? Jibu lako nani apewe uongozi wa nchi???
Mtanzania yeyote Mzalendo wa kweli, mwenye akili timamu, asiye na
mtindio wa ubongo, wala mtumwa wa hila chafu, wala...