Viongozi CHADEMA tujulisheni kama hizi kura za urais zinaukweli!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi CHADEMA tujulisheni kama hizi kura za urais zinaukweli!!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ibra Mo, Nov 2, 2010.

 1. Ibra Mo

  Ibra Mo JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 795
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Tunawaomba wanahusika kujumlisha kura kwenye majimbo watuambia kama haya matoke yanayotolewa na Tume yanareflect ukweli-Jamani hata Hai na Iringa mjini ccm wanaongoza!!Mi nahisi kuna mchezo mchafu hapa.
   
 2. U

  Uswe JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  whaaaaat! JK anaongoza Iringa Mjini???
   
 3. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Yaani hata Meatu, Ilemela, Kiteto na hata Hai hawa NEC/CCM kweli wanatuona WaTZ tu mazobAaaa
   
 4. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mkuu Nilikuwa nafuatilia kampeni kwa mfano za Iringa Mjini haiwezekani JK awe amempita Slaa, huu ni Wizi hata Mbeya Mjini ndio kabisa
   
 5. r

  roddymlay Member

  #5
  Nov 2, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inasemekana lile kontena lillilokamatwa Tunduma haikuwa uzushi ilikuwa ni kweli na lilikuwa na kura zimetikiwa JK.Kura hizo ndo zimetumika kum-maliza Slaa.Wakati matokeo yakiwa yamecheleweshwa maksudi,mawakala wanakuwa busy na kura za ubunge muda huo huo ndo wanapata muda wa kuingiza kura hizo.Mbinu nyingine iliyotumika iliyotumika ni kupiga kura tatu tatu na ushahidi upo kwa baadhi walioakamatwa pamoja na kununua shahada za kura zilizokamatwa Manzese
   
 6. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #6
  Nov 2, 2010
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Ule mchezo wa tallying kwa kutumia computer ambao watu walihisi ungechezwa na UWT nadhani ndio unachezwa sasa kwenye hizi kura za urais; haingii akilini kuwa Jakaya anaweza kumshinda Slaa Hai na Iringa Mjini, hapa lazima kuna mchezo unachezwa na sisi tumekomalia matokeo ya Ubunge tu tukimuachia Makame akichakachua mchana kweupe!! People should start following the presidential votes closely.
   
 7. w

  werawera Senior Member

  #7
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  duh hii kali mbona tumekaa kimya tunaibiwa, kama bakora na zipigwe
   
 8. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #8
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  NEC=CCM what do you expect?
   
 9. M

  MpitaNjia Member

  #9
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi mmesahau au? Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (JWTZ), Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (NEC), Mkuu wa TAKUKURU, Mkuu wa Jeshi la Magereza, Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Mkuu wa Usalama wa Taifa, Jaji Mkuu wa Tanzania.... wote hao wanateuliwa na Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania. Hivyo basi, itawezekana vipi kwa katiba tuliyonayo wakamgeuka Bosi wao??
   
 10. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #10
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Dk slaa atakuwa anaandaa ripoti kivuli ya mwenendo mzima wa uchaguzi. Tusubiri
   
 11. K

  Kamuche JF-Expert Member

  #11
  Nov 2, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 368
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwa Tabia ya Dr. Slaa tumjuaye, na kwa kuwa hawezi badilika ndani ya siku3, kama yasigekuwa kweli, angesharopoka kama ilivyo desturi yake. Ukimya huu unaashiria kukubali hali ndivyo ilivyo. Zingatio: Atagombea tena au atasimamia msimamo wa kugombea mara moja tu?
   
 12. K

  Kamuche JF-Expert Member

  #12
  Nov 2, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 368
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tofautisha upigaji kura na Kampeni, Somo la Uchaguzi limekupita kushoto?
   
 13. Ibra Mo

  Ibra Mo JF-Expert Member

  #13
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 795
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  We ndo mropokaji coz hata hizi comment zako umeropoka tuu,Dr. Wa ukweli hakurupuki subiri izo data atakazo kuja nazo.
   
 14. M

  Mkombozi JF-Expert Member

  #14
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Wakati nikiwa napiga kura J2 kulikua na tetesi kua ukiweka tick kwenye jina la urais sehemu ya upinzani ukikunja na kugusana na sehemu ya pili ya ile tick inafutika.Uchunguzi ufanyike.Pia vyama vya upinzania wachukue form za majibo yote yaliyosainiwa ili wayajumlishe moja baada ya nyingine.Haiwezekani matokeo ya ubunge yawe tayari ya ubunge halafu ya urais bado.Pia Zanzibar mbona wamemaliza mapema wakati baadhi ya majimbo hapa bara bado?Lazima tujiulize.
   
 15. Mantissa

  Mantissa JF-Expert Member

  #15
  Nov 2, 2010
  Joined: Jul 24, 2010
  Messages: 870
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Dr, kanyamaza kimya tu anaangalia jinsi wanavyopeleka mchakato. Nasikia kaambiwa atulie kwani matokeo yote anayo toka kila kituo hapa TZ, mwisho wa siku naye atatoa aliyonayo.
  Nimesikia JK aliwaita intelegensia kujadili hili suala la kushinda CCM ,wakamwambia inaonakana utashindwa hivo kawaagiza walete lile sanduku lililokuwa limekamatwa. Mmoja wao akalikisha dili kwani hata wajeshi wameipigia CHADEMA. huyo aliyelikisha aliundiwa dili ili auwawe, lakini wenzake wakamsitua.
  Kwa hiyo jamaa anasubiri mwisho wa siku kwani copy zipo zote.
   
Loading...