Recent content by rockyy

  1. R

    JamiiForums Tanzania Safari inogile

    wanajali muda
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kila kitu kipo india jamani huo ndio ubinadamu kasheshe kweli

    apa mbona kama bongo chupa za kilimanjaro?
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kwa Watumiaji wa Mirungi

    apo najua ndio kijiwe chako
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kwa Watumiaji wa Mirungi

    nenda pale mrina unapo chukuaga liverpol
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wa elim mnalijua ili ni hatari

    Naomba wahusika mtembelee shule ya manyara ni shule nzuri sana lakini iko porini shule haina maji watoto wanajisaidia porini jioni wanaenda kuokota vinyesi vyao choo wamewekewa zakutumia maji na akuna maji kwanini wasiwekewe vyoo vya mashimo?naomba wausika mlitazame.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mbowe atolewa nje ya bunge

    nduga ajue cheo ni dhamana asione mefungiwa icho kiti.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Style hii imeshafika bongo jamani?

    Tz awataki makuu wanapandisha kwenye ndege.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Polisi yatoa Ufafanuzi wa 'Bomu' la Kanisani Kijitonyama

    kwann kilenge kanisani tu mbona kisiende ikulu???! au police?????
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa FFU - Arusha na polisi wengine watatu wafukuzwa kazi

    me naona ungerudi ule utaratibu wa kuhamisha askari wasivizoe vituo ingesaidia kupunguza uhalifu.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Aliyemuua bilionare Erasto

    mbona mkuu autupi majina?
  11. R

    JamiiForums Tanzania Toa maoni yako kuhusu picha hizi. umeelewa nini?

    mzee wa utepe uyo leo ana mkasi
  12. R

    JamiiForums Tanzania Live: Mkutano wa CHADEMA Arusha, ni kuhusu Rasimu ya Katiba

    live umenena uko kwenye mkutano?
  13. R

    JamiiForums Tanzania Eti jeneza la huyu linafunguliwa kwa rimoti

    jamaa tuache yooote aya tujiulize wanapata wap izo silaha kwan najua ukifata sheria uwez pata silaha namna walizozo nazo watu wa mererani je? wanafata sheria za kumiliki?
  14. R

    JamiiForums Tanzania Eti jeneza la huyu linafunguliwa kwa rimoti

    sasa apo watakuwa wana waliza matajir ili waone wata wazika vp leo ni remot kesho ni...........
  15. R

    JamiiForums Tanzania ARUSHA: Madiwani wapya wagundua ufisadi wa kutisha Halmashauri!

    najua watagundua mambo mengi pigeni kazi majembe tz bila sisiem inawezekana!!
Back
Top Bottom