Recent content by Rockefeller

  1. Rockefeller

    JamiiForums Tanzania Kuna siri napenda kuwapa ila walionipa ni waganga na imani yake na wengine imani zetu

    Tatizo mnaamini sana uchawi, hio ni tabia ya kawaida tu kwa binadamu wa kawaida. Mtu muovu siku zote hupenda kuzungukwa na waovu wenzake ili kuhalalisha uovu wake, ili ajisikie vibaya. Sio uchawi ni sayansi ya jamii ya kawaida tu.
  2. Rockefeller

    JamiiForums Tanzania Mdada yoyote mwenye makebo makubwa hauwezi mkuta rafiki yake ana makubwa yake bali huchagua mwenye madogo ili asishaini ndani yake mbele ya hadhara

    Ndio nature ya maisha usipokuwa na face card lazima uwe na brain card ili u-survive!
  3. Rockefeller

    JamiiForums Tanzania Mdada yoyote mwenye makebo makubwa hauwezi mkuta rafiki yake ana makubwa yake bali huchagua mwenye madogo ili asishaini ndani yake mbele ya hadhara

    Huku mtaani tunawaita "Madem wa STEM" 😀 Science, Technology, Engineering, and Mathematics zimelala 😂😂
  4. Rockefeller

    JamiiForums Tanzania Mdada yoyote mwenye makebo makubwa hauwezi mkuta rafiki yake ana makubwa yake bali huchagua mwenye madogo ili asishaini ndani yake mbele ya hadhara

    Na kuna yule mbovu anachagua marafiki wabovu kuzidi yeye. Unakuta kikundi cha mabinti kama majangili wako dadaz vacation!😂😂
  5. Rockefeller

    JamiiForums Tanzania Shocking: Inadaiwa Wanawake wengi wanaoenda gym wanaliwa na trainers!

    Inadaiwa wanawake wengi wanaoenda kazini wanaliwa na mabosi. Inadaiwa wanawake wengi wanaoenda kanisani wanaliwa na Wachungaji Inadaiwa wanawake wengi wanaoenda hospitalini wanaliwa na madaktari Inadaiwa wanawake wengi wanaopanda pikipiki wanaliwa na ndege Inadaiwa wanawake wengi ma air hostess...
  6. Rockefeller

    JamiiForums Tanzania ***** kuna ka bibi kana miaka 55 kanasumbua sili mabibi Mimi

    Inategemea, kuna kina Gabrielle Union, Sanaa Lathan me napiga 😅
  7. Rockefeller

    JamiiForums Tanzania Christians, hii ndiyo sababu walikuja Afrika!

    We kijana nitajie hizo investment zilizofanywa sana! Unataka kusema makanisa, shule na vituo vya afya. Unajua zilijengwa kwa sababu gani na zilihudumu kivipi? Conquests zimekuwepo na hazikua kwa sababu ya dini, dini ni sura moja tu lakini lengo kuu ni utawala. Kuanzia Egyptian, Mongolian...
  8. Rockefeller

    JamiiForums Tanzania Christians, hii ndiyo sababu walikuja Afrika!

    Lengo la ujio wa ukristo ilikua ni ukoloni full stop. Ni kweli kukikua na suppression of Islam after the arrival of Europeans lakini haikua shabaha kuu. Maana ukisema hivo vipi kuhusu "kakure kirishitan" kule Japan nako walikua wanafukuza waislam????
  9. Rockefeller

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mwaipopo: Tuna kikundi cha hatari "chui weusi" cha kupambana na waandamanaji. Kama Ukitaka ulemavu wajaribu wao

    Tualia mzee! System ni system iwe mbovu iwe nzuri bado ni mfumo! My point is hata kwenye hii system mbovu tuliyonayo, kuna watu wanaweza kuona hatari ya haya mambo na kama wameamua kuacha yaende hivi hivi basi hawamtakii mema kiingozi wao wanataka ujinga wake uonekane.
  10. Rockefeller

    JamiiForums Tanzania Hivi hii psychology ya wanawake kuplay hard to get, nani huwafundisha?

    Tatizo mtoa mada uliacha biology mapema ilo hivi kwa mnyama jike yoyote "Playing hard to get" ni natural method ya kumfanya dume awekeze nguvu na muda ili kufanya mate screening. Dume anayevumilia na kuonyesha juhudi anathibitisha kuwa ana genes bora, afya njema, na uwezo wa kulinda na kulea...
  11. Rockefeller

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mwaipopo: Tuna kikundi cha hatari "chui weusi" cha kupambana na waandamanaji. Kama Ukitaka ulemavu wajaribu wao

    Kwa hichi kinachoendelea nafikiri hata system sio wajinga kiasi kuacha mambo yaende hivi. Nafikiri wanamuacha bi maza na team yake waendelee kutuonesha na kutuaminisha umma wa Tanzania jinsi gani ni walivyo watu wa hovyo. Wanawaacha waendelee kujivua nguo kwa ujinga wao.
  12. Rockefeller

    JamiiForums Tanzania Hali yangu baada ya kujibiidisha na kusoma na kufuatilia makala za kifalsafa

    Umesahau mtaalamu Frederick Nietzsche
  13. Rockefeller

    JamiiForums Tanzania Hii picha moja tu imejumuisha tatizo kubwa lililopo ndani yetu vijana wa kileo

    Mtoa mada kwaio kinamchomzuia kijana kumtamani mama yake ni nguo? Kwaio maadili ya mtu yameshikiliwa na nguo zinazoficha nyuchi zetu na si molars au common sense? Hii ni shida ya tamaduni zetu za shame culture. Maadili yetu hayatoki akilini na moyoni bali ni superficial. Ilitakiwa iwe akili ya...
  14. Rockefeller

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanaosema "Singida kuna kuku wengi sana". Huu ni uzushi kama uzushi mwingine

    Dar es salaam ndio kinara wa kuku Tanzania ikifuatiwa na Tabora na Dodoma.
Back
Top Bottom