Recent content by RockBlockHolili

  1. RockBlockHolili

    JamiiForums Tanzania Nimepata Tsh 3.5 milioni. Nifanye biashara gani?

    Nunua pooltable 2 ziweke sehemu mbili tofauti hakikisha unapoziweka unapata hesabu ya 10 per day kwahiyo ni 300000 kwa mwez x2 600000 ndani ya miezi 5 utakuwa usharudisha huo mtaji wako
  2. RockBlockHolili

    JamiiForums Tanzania Nimefungua duka, nipeni ujanja wa kutoboa kwa kuwa Mangi

    waliouliza nauzaje 24 hrs nipo na rafiki yangu ambaye namuamiji sana tunapokezana sasa hv saa 9 zamu yangu hadi saa 6 mchana
  3. RockBlockHolili

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnaopata wanaume wa kuwaoa, huwa mnafanyaje?

    utundu fanya vitu ambavyo havipati kwngine mnunulie vitu mpe mapenzi kwa juhudi zako zote ipende familia yake mjali! usichague mahandsome sana
  4. RockBlockHolili

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimenyimwa penzi na kuachwa kisa nilisafiri bila kumuaga

    Mapenzi hayaingiliwi
  5. RockBlockHolili

    JamiiForums Tanzania Nimefungua duka, nipeni ujanja wa kutoboa kwa kuwa Mangi

    sasa hv camera inasumbua
  6. RockBlockHolili

    JamiiForums Tanzania Nimefungua duka, nipeni ujanja wa kutoboa kwa kuwa Mangi

    ntakutumia kesho mchana boss
  7. RockBlockHolili

    JamiiForums Tanzania Nimefungua duka, nipeni ujanja wa kutoboa kwa kuwa Mangi

    kwahyo ufanye utafiti nje ya field au ndan
  8. RockBlockHolili

    JamiiForums Tanzania Nimefungua duka, nipeni ujanja wa kutoboa kwa kuwa Mangi

    nlishawahi kumilik duka naelewa japo kula hakufirisi
  9. RockBlockHolili

    JamiiForums Tanzania Nimefungua duka, nipeni ujanja wa kutoboa kwa kuwa Mangi

    leo nimegundua kitu mpira umepunguza watejakesho ntafunga inch 43 na azam dish ili wasiende mbali na hapa ninapouza duka
  10. RockBlockHolili

    JamiiForums Tanzania Nimefungua duka, nipeni ujanja wa kutoboa kwa kuwa Mangi

    Maisha yana ups and down nimefungua duka kibanda nauza kila kinachokuja kichwani nauza kila kitu ambacho nimeulizwa na wateja wangu. Je ni sawa? Nifanyeje ili nipate faida? duka langu lipo njiapanda ya Himo karibu na Mizani mpya ndio naanza nimeanza kwa kukesha 24 hrs lipo wazi Naombeni...
  11. RockBlockHolili

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Lecturer ananitaka kimapenzi, ananitishia yeye ndio mwenye hatma ya matokeo yangu

    mpe usiwaze! yaani kabisa we ni me alafu unaomba ushauri wa kutoa tako utoe au usitoe dah yaani kwanza me angekula vitasa vya kufa mtu
  12. RockBlockHolili

    JamiiForums Tanzania Niko njia panda yenye maumivu moyoni: Biashara yangu imelala sana je, niende kwa mganga?

    anza na uchawi wa Mshana mwaga chumvi kwenye frame yako kila unapofunga biashara na unapofungua
  13. RockBlockHolili

    JamiiForums Tanzania Je aina hii ya swala wanapatikana Tanzania?

    kwa yeyote anayataka nyama pori anitafute tuna tandala swala na dikdik
  14. RockBlockHolili

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumtafuta mchepuko wa mumeo

    hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja pambana tu arudi kwenye himaya yako
  15. RockBlockHolili

    JamiiForums Tanzania Chadema Hii Kuwalipa Bodaboda Wajaze Nyomi Imekaaje?

    kwakweli kwa chadema kuwalipa boda boda ni ngumu labda katokea mtu tu mwenye pesa zake kawalipa
Back
Top Bottom