Recent content by Rock City

  1. Rock City

    House for sale - Mwanza

    Wadau Salaam! Nauza nyumba iliyopo katika jiji la Mwanza. Ina vyumba 3 vya kulala ambavyo 2 ni master room, jiko na sitting room. MMILIKI: Mimi mwenyewe MAHALI ILIPO: Mwanza city, Luchelele HATI: Ipo (66 years) MIUNDOMBINU: Umeme/Maji vipo BEI: TZS 55,000,000 CONTACTS: 0785099995 PICHA: Will...
  2. Rock City

    Nchimbi, Sophia Simba na Kimbisa wasema hawakubaliani na Uamuzi wa Kamati Kuu(CC)

    Kuna kila dalili CCM inafikia mwisho, mipasuko. Ya majirani zetu KANU kujirudia, rais Moi alifanya hivyohivyo kama huyu wakwetu. Baadhi ya nyakati kiongozi anapaswa kuwa na chembe hata kidogo za khofu ya Mungu, si visasi.
  3. Rock City

    Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Hivi Mwinyi na Mkapa wameshindwa kumshauri JK kwa kusoma upepo? Ni dhahiri chama kinaweza kumfia mikononi.
  4. Rock City

    Fisadi Benjamin Mkapa yuko na fisadi Edward Lowassa

    Pia, mchungaji Mtikila makala yake imesheheni ubaguzi na uadui wa dhahiri dhidi ya Waislamu. Mbaya kabisa hizo elements za kibaguzi.
  5. Rock City

    Fisadi Benjamin Mkapa yuko na fisadi Edward Lowassa

    Alikuwa wapi siku zote, kwa nini aibukie dakika za majeruhi za CCM? Nini akiogopacho baba mchungaji?Too late to him!
  6. Rock City

    SIRI NZITO Vita ya Urais: Lowassa na Membe Kuvurugana... Hatari ya CCM Kumeguka!

    Inajirudia hii, mods iunganisheni kuleee....
  7. Rock City

    Finally leo nimepima UKIMWI

    Tulizana! Umeambiwa lini urudi tena kupima?
  8. Rock City

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Leo Jumatano, Tarehe 26 Novemba, 2014

    Redio gani online wanarusha bunge live?
  9. Rock City

    Ajali ya basi Kahama yachukua uhai wa baadhi ya abiria

    Ni kweli ajali imetokea na nimefika eneo la tukio dk 10 tu baada ya ajali hiyo. Bus la Wibonela likitokea Kahama kwenda Dar likikimbizana na mabasi ya City Boy na Kisbo yalipofika kwenye kona ya Phantom ndipo mwendo kasi ukawashinda na kupitiliza mtaroni na kupinduka mara mbili. Limeua na...
  10. Rock City

    Safari ya Zitto Kabwe iliishia njiani, ya Ben Saanane imeisha kabla haijaanza!

    Binafsi nilimfatilia sana @Ben Wa Saanane hapa JF na kule kwenye ukurasa wake wa FB, kiujumla chama chao kimesheheni magenge fulani. Ukizitazama hizi episodes, mengi utayabaini kuanzia mauaji ya Wangwe, akina Mtela na Shonza, akina Habib Mchange, akina Zitto na Kitila na sasa kwa Ben. Mara...
  11. Rock City

    Ushosti kwenye pesa unanishinda jamani, ushauri tafadhali

    This is the best contribution to the post, kwa werevu.
  12. Rock City

    Boko haram jana wameua 17 juzi 118

    Katika vitabu vyote vitakatifu halipo jina hilo, hebu nikumbushe mkuu
  13. Rock City

    Treni za umeme na reli za juu kwa juu Dar es salaam..Shuka nayo

    Never to happen, labda kizazi hiki chote kipotee kwanza.
  14. Rock City

    Werema kuomba Msamaha pekee hakutoshi, aachie ngazi!

    Hii nchi haina desturi za kukemeana, kuwajibishana. Ikumbukwe huyu ni mteule wa Rais, hivyo jukumu kubwa lipo kwa mkulu wetu na si vinginevyo katika kumuwajibisha.
Back
Top Bottom