Recent content by Roby_Lee_05

  1. Roby_Lee_05

    Ndoto ukifanya mapenzi na mtu UNAYEMJUA, Tafsiri yake

    Nashukuru sana kwa ushauri wako, lakini miasha yangu yana stori complicated kdg kuhusu haya mambo ya kiroho. Maana kuna wakati huwa naota kama naongea na mtu lkn yupo kwenye taswira na umbo la duara kama jua na anatoa mwanga mkali sana mweupe, mara nyingi anayoniambia hutokea kama...
  2. Roby_Lee_05

    Ndoto ukifanya mapenzi na mtu UNAYEMJUA, Tafsiri yake

    Kuhusu dini mimi ni mkristo, Muendelezo upo mkuu na nisingependa kuweka wazi sana hapa kwa sababu za kibinafsi. Ila tu kuna mlolongo wa matukio hapo katikati na sasa huwa naona ndoton akiwa na watoto wawili (nikimaanisha ni familia). Nahitaji sana kupata maana halisi na nahitaji kujua ni...
  3. Roby_Lee_05

    Ndoto ukifanya mapenzi na mtu UNAYEMJUA, Tafsiri yake

    Surya Msaada wako ndugu Surya Said, Mimi kuna ndoto imekuwa ikijirudia takribani huu ni mwaka wa 3 Sasa. Iko hivi, mara nyingi huwa naota nipo kwenye matembezi na binti mzuri sana kwa muonekano wake, hasa maeneo ya ufukwe wa bahari au pembezoni mwa mto na mara zote lazima tutakutana na Sheikh...
  4. Roby_Lee_05

    ZTE Nubia Red Magic 8S Pro+: 24GB RAM?

    Nilikuwa nalisubiri sana hili toleo hatimae..
  5. Roby_Lee_05

    Mfahamu Mtawala wa Dubai, Sheikh Maktoum

    Sisi akina Sheikh Al Saud, Al Makhtoum, Al Nahyan wa buza tuko hapa TPA tunawazoom tu..
  6. Roby_Lee_05

    Wataalamu wa Dini tusaidieni kwenye dhambi ya kuzini

    [emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  7. Roby_Lee_05

    Wataalamu wa Dini tusaidieni kwenye dhambi ya kuzini

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  8. Roby_Lee_05

    JamiiForums Usiku wa manane

    00:55
Back
Top Bottom